Habari zilizothibitishwa kutoka Paris, London na Dar Es Salaam zinaeleza kuwa Radio France Internationale inatarajia kufungua Idhaa ya Kiswahili [radio]itakayokuwa na makao makuu Dar Es Salaam nchini Tanzania.
Hivi sasa Radio France Internationale ambao ni public broadcasters wa Ufaransa wanafanya maandalizi kabla ya huduma hiyo kuanza kusikika, ikiwa ni pamoja na logistics na recruitment drive.
Tofauti na BBC wenye makao makuu London, VOA walioko Washington DC vile vile Detsche Welle na mashirika mengine ya kimataifa, hawa jamaa wameamua kuweka kila kitu Dar Es Salaam - kama local radio.
They've managed to get around restriction ya umiliki wa raia wa Tanzania kwa kushirikiana na TBC.