RFI radio to launch Swahili service in Tanzania

geek

Member
Feb 12, 2009
83
4
Habari zilizothibitishwa kutoka Paris, London na Dar Es Salaam zinaeleza kuwa Radio France Internationale inatarajia kufungua Idhaa ya Kiswahili [radio]itakayokuwa na makao makuu Dar Es Salaam nchini Tanzania.

Hivi sasa Radio France Internationale ambao ni public broadcasters wa Ufaransa wanafanya maandalizi kabla ya huduma hiyo kuanza kusikika, ikiwa ni pamoja na logistics na recruitment drive.

Tofauti na BBC wenye makao makuu London, VOA walioko Washington DC vile vile Detsche Welle na mashirika mengine ya kimataifa, hawa jamaa wameamua kuweka kila kitu Dar Es Salaam - kama local radio.

They've managed to get around restriction ya umiliki wa raia wa Tanzania kwa kushirikiana na TBC.
 
They've managed to get around restriction ya umiliki wa raia wa Tanzania kwa kushirikiana na TBC.

Thinking of it... Hivi TBC hawahusiki na hiyo sheria ya ownership? Mbona inamilikiwa na single owner kwa asilimia zote?
Halafu, je, hii ina maana kuwa RFI inaingia ubia na serikali?
 
Thinking of it... Hivi TBC hawahusiki na hiyo sheria ya ownership? Mbona inamilikiwa na single owner kwa asilimia zote?
Halafu, je, hii ina maana kuwa RFI inaingia ubia na serikali?
Mpita Njia,
Radio China wanatangaza kupitia KBC mjini Nairobi. Nadhani Wafaransa wamechukua ukurasa kutoka kitabu cha Wachina. Nadhani itakuwa kama TBC International
 
Mpita Njia,
Radio China wanatangaza kupitia KBC mjini Nairobi. Nadhani Wafaransa wamechukua ukurasa kutoka kitabu cha Wachina. Nadhani itakuwa kama TBC International

Dah, hivi lini TBC itaweza kurusha vipindi DC, Paris, London au Rome?
Hakukosea aliyesema kwamba Imperialism bila propaganda ni sawa na sex bila "romance'. It doesn't make sense! It is a Rape!
 
Back
Top Bottom