..... RFA wanapiga oldies za kitambo kidogo... Tune upate raha..

Unaogopa kupigwa ban enheee...

Ban siogopi ila sio nzuri...halafu hadi kupigwa ban ntakuwa nimefanyaje...lol ni ngumu sana ingawa jukwaa la siasa nikienda kiukweli pagumu magamba wanakera sana
 
Ban siogopi ila sio nzuri...halafu hadi kupigwa ban ntakuwa nimefanyaje...lol ni ngumu sana ingawa jukwaa la siasa nikienda kiukweli pagumu magamba wanakera sana

Ban inauma aisee japo sijawahi kuipata. Kule Jukwaa la siasa yataka moyo....wote wanamaudhi Magamba Na MAGWANDA pia... Kwa matusi hawajambo. Bora huku Na MMU kuna Upendo.
 
Ban inauma aisee japo sijawahi kuipata. Kule Jukwaa la siasa yataka moyo....wote wanamaudhi Magamba Na MAGWANDA pia... Kwa matusi hawajambo. Bora huku Na MMU kuna Upendo.

Teh numecheka sana..
Kule watu wako kazini lol
Hawataki mchezo na wako tayari kwa ban
 
tunaruhusiwa kutuma dedication BADILI TABIA

Natuma salama kwa brother BAK

na wimbo wa Fransisca kutoka kwa Fauvette umfikie popote alipo..kwa mala ya mwisho tuliusikiliza mwaka 1970 ,,
 
Last edited by a moderator:
Na mimi unanidediketia gani FL1?
Kaizer kwa sababu wewe ni utamalizia mwenyewe......mitaa ile tumepata baby gal..
Hebu pata hizo mbili kwa afya ya weekend yako
Your my best friend - Don Williams
Senorita- Don Williams
 
Last edited by a moderator:
Kaizer kwa sababu wewe ni utamalizia mwenyewe......mitaa ile tumepata baby gal..
Hebu pata hizo mbili kwa afya ya weekend yako
Your my best friend - Don Williams
Senorita- Don Williams

eti thread yangu hukuiona?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom