REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Kwenye taarifa yenu ya mchana huu saa sita na nusu, mnasema kuwa jimbo la mbunge Marwa Ryoba (serengeti) lina shule za msingi "elfu sabini na tisa na mia nne" (79,400)! Ni kweli au msomaji kalewa pombe?! Hivi lina vijiji vingapi?