Rey Mysterio......!!!!

Jamani kwa wale wajuvi wa mambo kuna jamaa wa kuitwa sonjay dutt alikuwa TNA ana michezo ya kitundu kama mysterio.yuko wapi sikuizi
 
meku7 kuna wakati just take it easy...vingine huwa ni kwa ajili tu ya kuchagiza mada usichukulie serious na my apology kwa kukukwaza
He should not life too serious. Mbona wengine tumeelewa kuwa this is just for fun.
 
Hapo roman reigns lazima akae. Ila kuna wakuda wakina koffi kingston wazee wa Booty-O wanazingua kishenz
wale changamsha genge wale me nawakubali sana yan wale mwanzo watu waliwadis ila sasa hv wanakubalika
 
hahah ila ile mashine haiwez roman ni jiwe aseee
Ukitaka kujuwa kwamba Roman ni mkali muulize Lesnar kilicho mpata, Lesnar ni size za kina undertaker lakini Lesnar aliomba poo kwa roman.... Ana style za hatari akikupa Spear na supermen punch
lazima ukae
 
Ukitaka kujuwa kwamba Roman ni mkali muulize Lesnar kilicho mpata, Lesnar ni size za kina undertaker lakini Lesnar aliomba poo kwa roman.... Ana style za hatari akikupa Spear na supermen punch
lazima ukae
HUO msupa man punch me uwa nauita nondo kwere
 
undertaker


Ila inawezekana hawana kanuni hawa jamaa, kama kuna wanajeshi wanajitangaza hadharani kugawa minduku kuna nini tena hapo???
 
bora aendelee kuvaa mask....sura hii haifai kupigana wwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…