donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
-
- #41
Hahaha, he is straight thouthe mysterious Rey Mysterio mzee wa 619,jamaa mwepesi balaa kama kina James na Matt Hardy.
sema ndo vile unaweza kuta ni choko,mbona maiko dudukofi sijui maiko skofildi ni choko na ana action za hatarii??!!
wenzetu hawa hawaeleweki,unaweza kuta hata undertaker nae choko...hahahahaha mwee ikisu hikiii Po kya ngelo fijho
Pronounced (mehico)Viva Mejico!
Yuko vizurinamkubali sana jamaa
Kina romans na Seth wazinguaji tuSiku hizi hakuna wakali WWE kabisa ukiacha Akina Randy, Cena, Lesnar
HahahaKumbe jamaa mlain hiv ndo mana anaficha sura
Usinambie mkuu? Mweh!Alishawahi kuua ulingoni kwa mateke yake ya kuzunguka kwenye kamba
mkuu inaonekana ujacheki mieleka longKina romans na Seth wazinguaji tu
Daaaah chaka sanastraight anafanya mapenz4 jinsia tofauti, ukisikia top ni basha na bottom ni yule anayeliwa
A.J styles ndo Kali yaoHAHA mwambie aseee ule mwamba hatariiiii ....one vs all it doesnt matter
noma jamaa mkali halina ubishi japo simkubali yan ila mkaliiiA.J styles ndo Kali yao
Anamtaman sana roman reignsnoma jamaa mkali halina ubishi japo simkubali yan ila mkaliii
hahah ila ile mashine haiwez roman ni jiwe aseeeAnamtaman sana roman reigns
We utaona tu, kipindi kile wana kakikundi chao na kina dean ambrose na Seth rogens kudadeki na mtindo wao wakuvamia mechi wakakutana na mziki wa cena,mysterio, deadman.ilikua shidahahah ila ile mashine haiwez roman ni jiwe aseee
Sijajua ilikua ni event gani hapo mkuu
Viashiria vingi vinaelekeza hukosijui kama si bwabwa huyu jamaa
Hiyo mashine ingine man.Wewe kuna mwamba hatari ni roman reigin
kweli kipind kile ata mm nilikuwa siwakubali aseee ila walivyoseparate sasa kila mmoja kivyake ndo roma akasomeka vizuriiiiWe utaona tu, kipindi kile wana kakikundi chao na kina dean ambrose na Seth rogens kudadeki na mtindo wao wakuvamia mechi wakakutana na mziki wa cena,mysterio, deadman.ilikua shida
Wakikutana aisee Mara nyingine itakua qwiqwikweli kipind kile ata mm nilikuwa siwakubali aseee ila walivyoseparate sasa kila mmoja kivyake ndo roma akasomeka vizuriiii
Heh jmn afu ni mchezo wny mashabiki wng sana!!binafc ciuelewagi mana wanachofanya ni zaid ya ukatili lol!!!inaogopesha!!!
yaah noma zaid watakutana extreme rules ful silaha yan nomaWakikutana aisee Mara nyingine itakua qwiqwi