donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Picha ya mwisho kama anatoa uhalisia wake wa kupenda vitu vya kikekikeKwa wakuu wapenzi wa wrestling sina shaka huyu kijana mzee wa 619 ni mmoja ya wanamieleka wanaokuvutia. Mbabe huyu ameweza kuteka nyoyo za mashabiki wengi wa mieleka esp. Kwa style yake ya kuvaa mask usoni na kuficha sura yake. But leo, hebu tumuone bila mask bwana mysterio:
View attachment 347031View attachment 347032View attachment 347033View attachment 347034View attachment 347035
Sijajua ilikua ni event gani hapo mkuuPicha ya mwisho kama anatoa uhalisia wake wa kupenda vitu vya kikekike
Kwwli ni babyface inasemekana ni moja ya reasons ilimfanya awe anavaa mask. He is straight na ana mke na watoto nafkiri kwa sasa anaishi CaliMbona mshikaji baby faced sana.
Alafu ana mambo ya jinsia nyngne, au anatafunika?
Mkali huyu mkuuIla huwa ni wrestler wa ukweli naipenda kazi yake
Kweli hata kwenye main event ya juzi kati ya PPV hakuepoSiku hizi yuko wapi huyu mbona muda hajaonekana ktk show za wwe
He is 'straight'Kwwli ni babyface inasemekana ni moja ya reasons ilimfanya awe anavaa mask. He is straight na ana mke na watoto nafkiri kwa sasa anaishi Cali
Mrembo hadi anatamanishaKwa wakuu wapenzi wa wrestling sina shaka huyu kijana mzee wa 619 ni mmoja ya wanamieleka wanaokuvutia. Mbabe huyu ameweza kuteka nyoyo za mashabiki wengi wa mieleka esp. Kwa style yake ya kuvaa mask usoni na kuficha sura yake. But leo, hebu tumuone bila mask bwana mysterio:
View attachment 347031View attachment 347032View attachment 347033View attachment 347034View attachment 347035
Hahaha, mkuu mende nini?Mrembo hadi anatamanisha
Straight huwa inamaana ana mambo ya gay?auKwwli ni babyface inasemekana ni moja ya reasons ilimfanya awe anavaa mask. He is straight na ana mke na watoto nafkiri kwa sasa anaishi Cali