REX Atorney Mnahujumu Nchi Kushughulikia Vibali Vya Ajira

KITA

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
20
Reaction score
5
Hivi karibuni, wadau niliwapasha kuhusu mfaransa asiye na vyeti wala sifa ya kufanya kazi nchini. Sasa nitataja hata jina lake, Stephen Augustino.

Pia niliwataarifu kuhusu mwanamama mwenye asili ya Rwanda, anayetiliwa shaka kwa kuwa ana Passpoti ya Uganda, majina yake ni Catherine Rwegasira.

Wote ni mabosi wa Mbeya Cement.

Stephen ana Diploma ya Utawala na hata kibali chake kilichoisha muda wake hivi karibuni (inaaminika January 2015) kilimhruhusu kufanya kazi ndogo za utawala. Ila inasemekana ni Mkuu wa Idara ya Fedha (CFO) pia ni Katibu Mkuu wa Kampuni.

Kana kwamba haitoshi, katika mbinu za kufanikisha vibali vyake na huyo SPY wa Rwanda, aliwatumia, aliwatumia REX Atorney ili rushwa watakayolipa isionekane kwenye vitabu. Dola pengine zaidi ya Elfu Kumi.

Mbaya zaidi wameajiri watoto wa vigogo Uhamiaji (idara ya mauzo), Mtoto wa Mwanachama wa Bodi, Mama Swai, kijana Stephen Swai, kwenye idara ya masoko na uhusiano.

Nalia na wanasheria, wasiotaka kutetea nchi na kufanya haya madudu. TAKUKURU KAZI KWENU.
 
Unashangaa hapo mbeya cement, nenda kwenye makampuni ya ujenzi ya wahindi uone wahindi walivyojazana, wanafanya kazi kama mainginia ila hawana sifa hizo
 
Hii ya wageni kufanya kazi nchini kinyume cha sheria ni kitu kinacholeta hasira sana. Waziri wa Kazi mwenyewe kimeo na CCM kimeo.
 
Nenda mbugani uone ile mijitu yenye ndevu kama Osama inavokwiba wanyama wetu!
 
Hivi karibuni, wadau niliwapasha kuhusu mfaransa asiye na vyeti wala sifa ya kufanya kazi nchini. Sasa nitataja hata jina lake, Stephen Augustino.

Pia niliwataarifu kuhusu mwanamama mwenye asili ya Rwanda, anayetiliwa shaka kwa kuwa ana Passpoti ya Uganda, majina yake ni Catherine Rwegasira.

Wote ni mabosi wa Mbeya Cement.

Stephen ana Diploma ya Utawala na hata kibali chake kilichoisha muda wake hivi karibuni (inaaminika January 2015) kilimhruhusu kufanya kazi ndogo za utawala. Ila inasemekana ni Mkuu wa Idara ya Fedha (CFO) pia ni Katibu Mkuu wa Kampuni.

Kana kwamba haitoshi, katika mbinu za kufanikisha vibali vyake na huyo SPY wa Rwanda, aliwatumia, aliwatumia REX Atorney ili rushwa watakayolipa isionekane kwenye vitabu. Dola pengine zaidi ya Elfu Kumi.

Mbaya zaidi wameajiri watoto wa vigogo Uhamiaji (idara ya mauzo), Mtoto wa Mwanachama wa Bodi, Mama Swai, kijana Stephen Swai, kwenye idara ya masoko na uhusiano.

Nalia na wanasheria, wasiotaka kutetea nchi na kufanya haya madudu. TAKUKURU KAZI KWENU.

Takukuru wenyewe wanahongeka kwa bei chee tu haki inapinduliwa
 
Back
Top Bottom