Reviews: Wanawake wa Kitanga

Waondoe wasambaa kwenye huo mjumuisho.
Na hili ndilo tatizo kubwa la watu wa kuja (WANYIKA). Siku zote wamekuwa wakiamini utamaduni wa watu wa Tanga mjini ndiyo utambulisho wa watu wa Mkoa wote wa Tanga!

Hata hawafahamu kama Mkoa wa Tanga una makabila na tamaduni tofauti! Kusema eti wanawake wa Kisambaa kutoka Lushoto au Korogwe hawapendi kufanya kazi! ni kichekesho.
 
Reference ni Wadigo.
 
Chai
 

Wengi wao wazuri wa sura. Na Manyonyo makubwa. HAWANA HIPS HAWANA MAKEBO MAKUBWA.
 
Njoo Kondoa Utasahau Tanga Kabisa
Fika Pahi Halafu Malizia Kijiji Kinaitwa MAUNO
Ukija Teleka Bicha Unganisha Gari
Hapo kwenye mauno wamakonde na wangoni tu wengine wanaiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…