Revenge Inauma Usipime...!

huyu mama Si mzima Kiakilihahaha kwa wale wanaopenda kwenda kupiga ramli Labda mganga wake alimwambia mumeo hata ufanye nini hatofurukutasasa yamemrudi ..mpe pole sana na akiamka mwambia ujinga wake umemponza
 
Wengi mnashangaa kwa kuamini kuwa wanawake hawaanzi. Hili halinishangazi na niwaambieni ukweli, kwenye ndoa wanaume wengi ni wavumilivu (yaani wanawavumilia wake zao) kuliko wanawake wanavyowavumilia waume zao. Mwanaume unapopatwa na hayo ya mke kutoka na ukajua anatoka, ni vigumu sana kuliongelea nje. Mara nyingi watu wa nje wataona na kudhani mme ni zuzu au kalishwa kitu. Kumbe ni sawa tu na kobe kuinama - mume anakuwa anatunga sheria.

That experience is very good to test a man's patience. Wife battering nyingi zina msingi kwenye mambo kama haya! Watu wa nje wanakuwa hawajui, ila mara nyingi tendency ni kumhurumia anayepigwa!
 
huyu mama Si mzima Kiakilihahaha kwa wale wanaopenda kwenda kupiga ramli Labda mganga wake alimwambia mumeo hata ufanye nini hatofurukutasasa yamemrudi ..mpe pole sana na akiamka mwambia ujinga wake umemponza

FL1 I salute you on that blue
 

Hiyo blue you are very right!!!!!!!
 
Kaizer hajatoka bado upadates nitaleta jioni nikienda kumwona hosipital

Akipata fahamu tu mkono kwa mkono hadinkwa Chief. Na huyo mwanaume wake akalale kwa kitu kipyaa kama wiki ndo arudi. Kabila gani hao?
 

wanaume bana vichwa vingine vinachelewa kufikiri ..sasa analala nje na mwanamke housgirl yuko ndani si angeanza na hgirl huko mbali kote kuna nini .....tena siku nyingine akiwa nyumbani unamuuliza mbona leo uondoki...allah nakwambia na kama mbegu za asilia azijaisha ntampandikiza binti hata kama ni mbaya najua ametoka kwa bwana alafu akajue mbele ya safari

nje koteee alikuwa anafwata nini mzizi uko ndani jamani..neema umelala nayoooo...matunda unaamka nayo nini ameenda kukifwata nje ...else hgirl ikifika usiku anaeuka hboy...lakini mpaka usiku ni yule yule loh m
 
Ha ha ha... @dena amsi ukiona hivyo ujue chapter closed. No more dramaz ndoa sasa itakuwa imara.
 
Akipata fahamu tu mkono kwa mkono hadinkwa Chief. Na huyo mwanaume wake akalale kwa kitu kipyaa kama wiki ndo arudi. Kabila gani hao?

Ha ha ha ha kabila lao walijua wewe kwani umesahau Kaizer???
 
kama huyo mama alimfanyia hivyo jamaa amemstahi alitakiwa atokomee huko huko ili akili zije kichwani na hao mahawala wake kama watamsaidia tena. maana wanafanya hivyo wakijua anayelea familia yupo akitoka nao wanajitoa ndio tabia za watu wahuni
 

Pdidy hiyo blue hiyo nimechekaje mie kha??!!!!
 
Halafu ulivyo malizia DA nikafikiri ni Defense Advisor kumbe ni DENa Amsi
 
huyu mama anatakiwa apatiwe adabu maana alijiona yuko matawi ya juu kumbe ndio kwanza mwanaume alikuwa anamvutia pumzi tu na siyeye wapo wengi sana huwa wanajiona mashugamama kumbe bure kabisa
 
ningekuwa mimi natoa nataraka ili akajifunze na wehu wake huo
 
huyu mama anatakiwa apatiwe adabu maana alijiona yuko matawi ya juu kumbe ndio kwanza mwanaume alikuwa anamvutia pumzi tu na siyeye wapo wengi sana huwa wanajiona mashugamama kumbe bure kabisa

DA like this post
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…