Nimeona DA. Ndo maana nasema kuwa ni vigumu kuamini. Na tatizo langu kubwa liko kwa huyo mwanamume. Hata kama angekuwa amehasiwa, angeweza kuazima hasira toka kwa jirani yake.DC hii sio hadithi si umeona ile akilia au??? the same guy
Hapo sasa unalala nje halafu asubuhi unarudi mimacho mikavuuuu hata haya hana
Unajua nini DA?Kosa la mwanamke ni kubwa ila kwangu huyo mwanamume ndo kapitiliza!!Mestod bana umetetea huyu mwanamke?? Eti ana zamu za usiku?? Mmmhhhh
Sijakwenda bado niko ofisi shem kuwa na subira..................
Kama kawaida. Nime-revenge na hii ni Baada ya kuchoka kuitwa Bushoke, Bushoke.George umerevenge au umerevengiwa???
Wewe Dena Amsi,
Ofisi gani hiyo tangu 6am hadi 6pm?
Au kuna mengi zaidi ya kazi za ofisi tunazozijua??
Sorry lakini...nasikia kuna watu hawana wapenzi isipokuwa ofisi zao!!
Babu DC!!
revenge ya mapenzi ni kuachana tu, mengine ni kujichafua tu.
DC jana hiyo saa kumi na mbili asubuhi nilirudi home kujiandaa yaani nitoke hospital nipitilize ofisi?? Acha zako
Ofisi nimetoka usiku mkubwa jana si unajua audit ndo wakati wake huu lakini nitawapa update asubuhi leo nitakwenda hospital
DA

kabla hujamuacha mtu, shurti umvalishe high heels zako ili akome na ajue kumtembeza mwenzio na CL yataka moyo. Ukimuacha tu atarudia kwa mwengine, unamnyoosha kwanza.