Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Ccm bila rostam na lowasa haiotutishi tena............ccm wanategemea uhuni,ulaghai,uchinganishi kwa wananchui kwa kutumia pesa ambazo zitakuwa zimeota mbawa kwa kuwafukuza hao mafisadi papa..............haya mengine ni maneno mbofumbofu tu na hisia zaidi ya ukweli..................kwa kipindi hiki kumkuta mtz hasa kutoka mbeya anaipenda ccm na kikwete ni nadra sana.........ila mkoa wa mbeya umejawa na hisia zaidi................kunawengine wanasema mbeya mjini wanyakyusa hawana influence sana kitu ambacho sio kweli....unaowaita weasafwa hata kura waliowengi hawapigi .............ila njaa zitawafanya viongozi wetu watugawe sana kwani viongozi wanaangalia maslahi yao yal;iyopita,yaliyopo na yajayo...