Mambo yameanza kuwa hadharani kuhusu Shitambala, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya
Mkakati ulisukwa na JK mwenyewe kupitia watu wanne ambapo watatu ni wakazi wa mkoa wa Mbeya na mmoja anatoka nje ya Mbeya, rafiki wa Shitambala wa muda mrefu
Mtu wa kwanza ni Mwaikela ambaye ni mfanyabiashara wa madini mkoani Mbeya
Mwaikela ni moja kati ya watu waliokua kwenye orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ambayo alikabidhiwa JK, surprisingly, Mwaikela kwa sasa ni rafiki mkubwa sana wa JK.
Mwaikela ndiye aliyemuunganisha Shitambala na JK, pia alimuunganisha na Jenerari Mboma, mtu wa pili katika hili gemu..
Mboma aliweza kumshawishi Shitambala aharibu uchaguzi wa Mbeya vijijini, kwa ahadi ya kwamba atalichukua jimbo 2015 kupitia CCM
Baada ya hapo, JK akamuomba mtu wa tatu, Mwandosya ili akamfikishie ujumbe Shitambala pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA mkoani Mbeya jambo ambalo walifanikwa kwani hata katibu wa mkoa wa CHADEMA nae ni miongoni mwa watu ambao wanaendelea kunufaika na pesa za hao mafisadi
Katibu wa mkoa wa CHADEMA ambae nae ni moja kati ya viongozi wanaoendelea kutumika; ataondoka au atabaki ndani ya chama lakini kwa ajili ya kazi maalumu
(CHADEMA SHOULD TAKE A NOTE ON THIS!!!). Mkakati mwingine walionao ni pamoja na kuwanunua vijana mkoani Mbeya ili kuvunja ngome ya CHADEMA ambayo imewekeza kwa kiasi kikubwa kwa vijana hao, hasa wa vyuo vikuu
Mtu wa nne katika huu mpango ni waziri kijana katika serikali ya JK, jina litafutia soon
NB:
Mwaikela, mhitimu wa darasa la saba, ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini na anadai kufikia mwaka 2015 atakuwa amepata digrii!!! Pesa kutoka CCM zinapitia kwa Mwaikela na baadae kuwafikia viongozi wa CHADEMA.. Wengi wangekua tayari wamehama tatizo, Shitambala aliwazidi spidi ya kula hizo pesa...