Revealed: Operation Bomoa CHADEMA Mbeya, Mpango Mzima Episode 1..

Ccm bila rostam na lowasa haiotutishi tena............ccm wanategemea uhuni,ulaghai,uchinganishi kwa wananchui kwa kutumia pesa ambazo zitakuwa zimeota mbawa kwa kuwafukuza hao mafisadi papa..............haya mengine ni maneno mbofumbofu tu na hisia zaidi ya ukweli..................kwa kipindi hiki kumkuta mtz hasa kutoka mbeya anaipenda ccm na kikwete ni nadra sana.........ila mkoa wa mbeya umejawa na hisia zaidi................kunawengine wanasema mbeya mjini wanyakyusa hawana influence sana kitu ambacho sio kweli....unaowaita weasafwa hata kura waliowengi hawapigi .............ila njaa zitawafanya viongozi wetu watugawe sana kwani viongozi wanaangalia maslahi yao yal;iyopita,yaliyopo na yajayo...
 
Mtu anavuruga uchaguzi wa mwaka huu ambao anaweza akashinda ili ashinde jimbo hilo miaka mitano ijayo? I am lost, it doesn't make any sense.

Waberoya kwa maandishi yako nafikiri unazifahamu vizuri siasa za Mbeya.

Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye siasa za Mbeya ambayo yanaweza kuisaidia CCM tofauti na mwaka 2010. Baadhi ya mabadiliko yaliyotokea ni:

Ghafla kunaonekana ukaribu mkubwa kati ya Prof. Mwandosya na JK. Kumbuka huko nyuma kulikuwa na hisia ya kwamba JK anamchukia prof. Mwandosya.

Dr. Mwakyembe kuteuliwa kuwa naibu waziri. Kulikuwa na hisia kubwa Mbeya kwamba Dr. Mwakyembe hapendwi na JK na anakwamishwa na Mwakipesile. Baada ya kuteuliwa hawezi tena kusema rais anamchukia au Mkuu wa mkoa anamkwamisha. Hii tayari inaondoa sababu moja wapo ya CCM kuchukiwa Mbeya.

Uhusiano wa prof. Mwandosya na Dr. Mwakyembe ni kama unafifia. Kuna dalili wakawa makundi tofauti kwenye urais CCM 2015. Inaonekana Dr. Mwakyembe yuko karibu zaidi na Sitta kuliko prof. Mwandosya. Hili Mwandosya analifahamu na tayari mmomonyoko unaanza hapo.

Dr. Mwakyembe yuko karibu sana na CHADEMA taifa ila hakuwa na uhusiano mzuri na CHADEMA mkoa; alikuwa haelewani na Shitambala na Makata. Prof. Mwandosya hana mpango na CHADEMA, anapingana na CCM ndani kwa ndani, hana plan B ya kwenda CHADEMA.

Dr. Slaa alimsaliti Makata kwenye uchaguzi wa Kyela. Alimkaanga waziwazi jukwaani na hata hakuongozana naye kwenye msafara ndani ya helikopta na kumfanya Makata achelewe mkutanoni. Hivyo CCM wakimzengea tu Makata inaweza kuwa rahisi sana kumchukua.

Makosa ya CHADEAM kutokuchagua hata mwanamke mmoja kutoka Mbeya kwenye viti maalum.

Adui wa CCM kwa Mbeya kwasasa ni UFISADI. Wakifanikiwa kujivua gamba kama wanavyodai, CHADEMA imekwisha Mbeya. Labda waje na strategies zingine. Ni muhimu sana kwa Sugu kutokuonyesha chuki ya waziwazi kwa prof. Mwandosya. Kikubwa ashirikiane naye na hiyo itamjenga kwa wananchi wote Mbeya na akifanikiwa kufanya kazi nzuri basi ataweza kurudi. Ila akitengeneza uadui na prof. Mwandosya, atakuwa amejimaliza.

  1. Shitambala alivuruga uchaguzi makusudi kwa sababu zifuatazo.......

(i) Tayari alikua ameanza kusaliti CHADEMA tangu awali, kwa mipango ya chinichini na baadhi ya vigogo wa CCM...

(ii) Uchaguzi wa 2010 alipewa pesa, milioni 17 cash si millioni 600 kama ilivyodhaniwa...aliyemkabidhi ni bwana Mwaikela, baada ya Mboma kumuomba ampishe mbunge wa sasa Mwanjale aendelee, mbunge huyu pia ni binamu wa Shitambala, kumbuka yaliyotokea 2008..(UMEWAHI KUSIKIA MWANASHERIA ANAJIAPISHA MWENYEWE!!??)

(iii) Shitambala kama mwenyekiti wa CHADEMA alizuia baadhi ya kata kuwa na wagombea udiwani toka chama chake cha zamani eti kwa kudai wanaogombea kupitia CCM wanamuunga mkono!!!

(iv) Hakupeleka mawakala katika vituo vingi sana vya jimbo la Mbeya Vijijini, suprisingly hata wakati wa majumuisho hakuwepo!!!

2. Waberoya hafahamu siasa za Mbeya, anasoma humuhumu JF na kwenye magazeti...

3. Kwa kasi sana kunaonekana UMBALI mkubwa unaoanza kujengeka kati ya Prof Mwandosya na wananchi wa mkoa wa Mbeya, hasa vijana ambao ndio huamua siasa za mkoa huo....kumbuka wakati anamtambulisha Shitamabala, pamoja na kumzomea walimwambia, UNATUCHANGANYA MZEE, HATUKUELEWI!!

4. Bado JK hayupo karibu na Dr Mwakyembe, kumchagua ilikua ni presha ya wazee wa CCM ili at least kurudisha sura ya chama kwa Watz, na sio Mbeya pekee...(refer kurudishwa Magufuli wizara ya Ujenzi).....mwakipesile ni kambi ya EL, na kwa taarifa yako, ana sympathy na CHADEMA ndio maana CCM walipoteza jimbo kirahisi, pamoja na kwamba ni mtu wa Mbeya, ni mkongwe pale angeweza kuepusha kupotea kwa jimbo la Mbeya Mjini...

5. Kama unayosema ni kweli, basi uhusiano mbovu wa Prof Mwandosya na Dr Mwakyembe ni mojawapo ya misumari katika jeneza la CCM Mbeya...

6. Ni kweli Dr Mwakyembe yupo karibu na CHADEMA, na kabla ya uchaguzi 2010 alichukua vifaa kama kadi, bendera na katiba pamoja na vitabu vya mabaraza, CCM wangemmwaga, Kyela ingekua CHADEMA kupitia Dr Mwakyembe...Prof Mwandosya alikatazwa na wazee wa wilaya ya Rungwe kwenda CHADEMA, si kwamba haikua plan B yake...Makata alikataliwa na wananchi wa Kyela mapema sana...

7. CCM tayari walikiua wameanza ukaribu na Makata (KATIBU WA CHADEMA MKOA) hata kabla ya uchaguzi 2010, Dr Slaaa pengine alilijua hili mapema,akaogopa kuchafuka....

8. Ishu ya viti maalum imeshaisha kwa sasa, kwani tayari wanawakilishwa na mheshimiwa Naomi Mwakyoma...

9. Upo sahihi, lakini UFISADI si adui, ni RAFIKI mkubwa wa CCM na kuelekea 2015, atashirikiana kwa karibu sana na MAISHA MAGUMU na hivyo kuifanya CCM ichukiwe si MBEYA tu, bali nchi nzima!!!!!! CCM hawana gamba la kujivua, watabaki UCHI...

NB:

Sugu amuogope Prof Mwandosya kama ukoma, kwa sababu Prof Mwandosya sie aliyemfikisha hapo, na hata waliomchagua Sugu tayari wanamkataa kwa kasi huyu profesa...Sugu anawajua anaotakiwa kushirikiana nao,ni wale waliomfikisha hapo...
 
This is hanky panky stori za vikao vya kimpumu, kwamba jamaa wa darasa la saba wakarub shoulders na JK na Mwandosya? Tell it to the birds!
Nilikuwa Mbeya majuzi na wengi wamesitukia mkoa kukosa mgawo wa viti maalum pamoja na kujitokeza kwa wingi kukishabikia chama wasichokifahau.
THAT IS THE ISSUE na msipindishe nepotism iliyo kubuhu CDM.

Do not spin issues hapa....

1. Unafahamu level ya elimu ya Naibu Waziri wa Elimu?? Unajua ana-rub shoulders na kina nani???

2. Kwenye kikao cha mwisho, opposite na eneo la Airport ilipo ofisi ya Mwaikela (jamaa wa darasa la 7), ali-rub shoulders na wasomi 3 toka TEKU; ndugu Shitambala (ambae pia ni msomi LLM)...aliye-confirm kikao hiki kwa JK kwamba ni kweli kimefanyika ni Ngeleja, ambae ni rafiki wa Shitambala...huyu ndiye mtu wa nne katika hili gemu...
 
Kweli siasa za mbeya?????
hivi ni kweli mji wa wasomi kuongozwa na sugu? kama vile siamini! walikosea au walidhamiria? Au ni migawanyiko ya ccm ndo cahnzo kama ilivyokuwa mwa majimbo mengine kama iringa na mbulu? ikawa bora tukose wote? Funny!
 
Nani aliyekudanganya mbeya mjini kuna wasomi?Uliza wazawa tukwambie mkuu wasomi wa mbeya wanatoka katika wilaya na si mby mjini kama wengi mnavyodhania.
 
Kweli siasa za mbeya?????
hivi ni kweli mji wa wasomi kuongozwa na sugu? kama vile siamini! walikosea au walidhamiria? Au ni migawanyiko ya ccm ndo cahnzo kama ilivyokuwa mwa majimbo mengine kama iringa na mbulu? ikawa bora tukose wote? Funny!

Mkuu acha dharau, hivi unamjua rais wa Tz? Unamjua rais wa Madagascar? Unamjua mbunge wa Rorya? Mbarali je?
 
  1. Shitambala alivuruga uchaguzi makusudi kwa sababu zifuatazo.......

(i) Tayari alikua ameanza kusaliti CHADEMA tangu awali, kwa mipango ya chinichini na baadhi ya vigogo wa CCM...

(ii) Uchaguzi wa 2010 alipewa pesa, milioni 17 cash si millioni 600 kama ilivyodhaniwa...aliyemkabidhi ni bwana Mwaikela, baada ya Mboma kumuomba ampishe mbunge wa sasa Mwanjale aendelee, mbunge huyu pia ni binamu wa Shitambala, kumbuka yaliyotokea 2008..(UMEWAHI KUSIKIA MWANASHERIA ANAJIAPISHA MWENYEWE!!??)

(iii) Shitambala kama mwenyekiti wa CHADEMA alizuia baadhi ya kata kuwa na wagombea udiwani toka chama chake cha zamani eti kwa kudai wanaogombea kupitia CCM wanamuunga mkono!!!

(iv) Hakupeleka mawakala katika vituo vingi sana vya jimbo la Mbeya Vijijini, suprisingly hata wakati wa majumuisho hakuwepo!!!

2. Waberoya hafahamu siasa za Mbeya, anasoma humuhumu JF na kwenye magazeti...

3. Kwa kasi sana kunaonekana UMBALI mkubwa unaoanza kujengeka kati ya Prof Mwandosya na wananchi wa mkoa wa Mbeya, hasa vijana ambao ndio huamua siasa za mkoa huo....kumbuka wakati anamtambulisha Shitamabala, pamoja na kumzomea walimwambia, UNATUCHANGANYA MZEE, HATUKUELEWI!!

4. Bado JK hayupo karibu na Dr Mwakyembe, kumchagua ilikua ni presha ya wazee wa CCM ili at least kurudisha sura ya chama kwa Watz, na sio Mbeya pekee...(refer kurudishwa Magufuli wizara ya Ujenzi).....mwakipesile ni kambi ya EL, na kwa taarifa yako, ana sympathy na CHADEMA ndio maana CCM walipoteza jimbo kirahisi, pamoja na kwamba ni mtu wa Mbeya, ni mkongwe pale angeweza kuepusha kupotea kwa jimbo la Mbeya Mjini...

5. Kama unayosema ni kweli, basi uhusiano mbovu wa Prof Mwandosya na Dr Mwakyembe ni mojawapo ya misumari katika jeneza la CCM Mbeya...

6. Ni kweli Dr Mwakyembe yupo karibu na CHADEMA, na kabla ya uchaguzi 2010 alichukua vifaa kama kadi, bendera na katiba pamoja na vitabu vya mabaraza, CCM wangemmwaga, Kyela ingekua CHADEMA kupitia Dr Mwakyembe...Prof Mwandosya alikatazwa na wazee wa wilaya ya Rungwe kwenda CHADEMA, si kwamba haikua plan B yake...Makata alikataliwa na wananchi wa Kyela mapema sana...

7. CCM tayari walikiua wameanza ukaribu na Makata (KATIBU WA CHADEMA MKOA) hata kabla ya uchaguzi 2010, Dr Slaaa pengine alilijua hili mapema,akaogopa kuchafuka....

8. Ishu ya viti maalum imeshaisha kwa sasa, kwani tayari wanawakilishwa na mheshimiwa Naomi Mwakyoma...

9. Upo sahihi, lakini UFISADI si adui, ni RAFIKI mkubwa wa CCM na kuelekea 2015, atashirikiana kwa karibu sana na MAISHA MAGUMU na hivyo kuifanya CCM ichukiwe si MBEYA tu, bali nchi nzima!!!!!! CCM hawana gamba la kujivua, watabaki UCHI...

NB:

Sugu amuogope Prof Mwandosya kama ukoma, kwa sababu Prof Mwandosya sie aliyemfikisha hapo, na hata waliomchagua Sugu tayari wanamkataa kwa kasi huyu profesa...Sugu anawajua anaotakiwa kushirikiana nao,ni wale waliomfikisha hapo...

Ahsante kwa kuwaweka sawa Mbeya inahistoria ya kutoa wabunge wapinzani Polisye Mwaiseje former Katibu Mkuu NCCR mageuzi alishawahi kuwa mbunge pale,sasa SUGU wamemchagua wenyewe watamanio hilo Jimbo wajitahidi tuu lakini SUGU aliwekwa na wananchi ndio watakao amua sio pesa za mtu wala mitandao
 
Mkuu huwa unanichekesha sana pale ambapo uko tayari kuongea uongo ili kusisitiza hoja yako!!!!!!!!!!!!! You have contradicted urself several times.

Mkuu Nyambala, kama ungeifahamu siasa ya Mbeya vizuri, ungetambua kuwa Waberoya ameongea ukweli mtupu.
 
Hao wakazi wa Mbeya mjini ambao ni wasafwa hata wakati wa chama kimoja kwenye miaka ya 1980 waliwahi kumnyima mbunge wa kabila lao Bwana Yilanga na kumpa Mwamfupe kutokana na kwamba Yilanga alikuwa amewakwaza. Kwa hiyo usidhani kuwa eti wanampenda Sugu, No bali walikuwa wamemchoka Mpesya that is all na ndiyo maana wakapiga kura za CHUKI

Pamoja na kumchoka Mpesya lakini bado kampeni ya Sugu haikuweza kupenya kwenye maeneo ya Wasafwa mpaka Shitambala alipoingilia kati na kwenda kuongea nao lugha wanayoifahamu,its very complicated!!
 
Ccm bila rostam na lowasa haiotutishi tena............ccm wanategemea uhuni,ulaghai,uchinganishi kwa wananchui kwa kutumia pesa ambazo zitakuwa zimeota mbawa kwa kuwafukuza hao mafisadi papa..............haya mengine ni maneno mbofumbofu tu na hisia zaidi ya ukweli..................kwa kipindi hiki kumkuta mtz hasa kutoka mbeya anaipenda ccm na kikwete ni nadra sana.........ila mkoa wa mbeya umejawa na hisia zaidi................kunawengine wanasema mbeya mjini wanyakyusa hawana influence sana kitu ambacho sio kweli....unaowaita weasafwa hata kura waliowengi hawapigi .............ila njaa zitawafanya viongozi wetu watugawe sana kwani viongozi wanaangalia maslahi yao yal;iyopita,yaliyopo na yajayo...

Hauifahamu siasa ya Mbeya, hakuna wapiga kura wazuri mbeya kama Wasafwa na wanapiga kura kama block moja,muulize Tom Mwang'onda anawafahamu vizuri!!
 
Mkuu Nyambala, kama ungeifahamu siasa ya Mbeya vizuri, ungetambua kuwa Waberoya ameongea ukweli mtupu.

Asante Butola, wengine wanapenda tuwaambie kuwa ndio nyumbani! watujue vizuri.

I do believe Chadema can still survive kama wakicheza vizuri, ila wasilete mabifu na akina Mwandosya yasiyo na maana( wamuweke adui ila anayechukuliwa kwa uangalifu sana Mwandosya ni unpredictable), wanaweza kutumia makundi ya ccm yaliyopo sasa for their benefit.
 
Mambo yote hayo ndiyo yanayomaanisha siasa. Pamoja na mambo yote hayo, CHADEMA wanaonekana kuzichanga vizuri karata zao tofauti na CCM ambao wamekalia kujiaminisha kuwa wao ni chama kinachopendwa na watu wengi bila wao kuonyesha kuwa wako karibu na wananchi na wanawapenda watu masikini (90% ya watanzania). Ubinafsi na unafiki wa viongozi wa CCM ndiyo chanzo cha kukiua chama chao taratibu (Killing the party slowly but surely).
 
Do not spin issues hapa....

1. Unafahamu level ya elimu ya Naibu Waziri wa Elimu?? Unajua ana-rub shoulders na kina nani???

2. Kwenye kikao cha mwisho, opposite na eneo la Airport ilipo ofisi ya Mwaikela (jamaa wa darasa la 7), ali-rub shoulders na wasomi 3 toka TEKU; ndugu Shitambala (ambae pia ni msomi LLM)...aliye-confirm kikao hiki kwa JK kwamba ni kweli kimefanyika ni Ngeleja, ambae ni rafiki wa Shitambala...huyu ndiye mtu wa nne katika hili gemu...

Kumbeee!!

Twende kazi Mdau, tutafika.
 
Asante Butola, wengine wanapenda tuwaambie kuwa ndio nyumbani! watujue vizuri.

I do believe Chadema can still survive kama wakicheza vizuri, ila wasilete mabifu na akina Mwandosya yasiyo na maana( wamuweke adui ila anayechukuliwa kwa uangalifu sana Mwandosya ni unpredictable), wanaweza kutumia makundi ya ccm yaliyopo sasa for their benefit.

Mkuu Waberoya, hivi Mwandosya anakutisha sana???
 
Pamoja na kumchoka Mpesya lakini bado kampeni ya Sugu haikuweza kupenya kwenye maeneo ya Wasafwa mpaka Shitambala alipoingilia kati na kwenda kuongea nao lugha wanayoifahamu,its very complicated!!

Tueleze humu jamvini Sugu alipata kura ngapi baada ya Shitambala kutumia ukabila katika kampeni.......
 
Mtoa hoja kukumbuka kwamba;
1. chadema imejijenga katika mfumo wa ki-chama si mtu binafsi [hili ndilo tatizo linalowaumiza vichwa ccm katika kuibomoa tofauti na vyama vingine ambavyo individuals are famous].
2. CHADEMA ina style ya kushumbulia chama tawala sambamba na induvidual jambo linalowapa washambuliwa wakti mgumu kwani inabidi wajibu kichama with individuality.

Kwa hoja hizo mbili cdm kinajimbambanua kutokuwa chama cha kikanda kama tulivyohubiriwa mwanzoni. isitoshe kinajitanua kwa awamu [ ninaamini awamu itakayofuata ni ile ya pwani na zanzibar.
kwa misingi hiyo sidhani kama cdm mbeya itasumbuliwa na sualala ukabila maana hawa jamaa wanaangalia uwezo na si dini, kabila au rangi!!
 
Mambo yameanza kuwa hadharani kuhusu Shitambala, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya…

Mkakati ulisukwa na JK mwenyewe kupitia watu wanne ambapo watatu ni wakazi wa mkoa wa Mbeya na mmoja anatoka nje ya Mbeya, rafiki wa Shitambala wa muda mrefu…

Mtu wa kwanza ni Mwaikela ambaye ni mfanyabiashara wa madini mkoani Mbeya…Mwaikela ni moja kati ya watu waliokua kwenye orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ambayo alikabidhiwa JK, surprisingly, Mwaikela kwa sasa ni rafiki mkubwa sana wa JK.

Mwaikela ndiye aliyemuunganisha Shitambala na JK, pia alimuunganisha na Jenerari Mboma, mtu wa pili katika hili gemu..

Mboma aliweza kumshawishi Shitambala aharibu uchaguzi wa Mbeya vijijini, kwa ahadi ya kwamba atalichukua jimbo 2015 kupitia CCM…

Baada ya hapo, JK akamuomba mtu wa tatu, Mwandosya ili akamfikishie ujumbe Shitambala pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA mkoani Mbeya jambo ambalo walifanikwa kwani hata katibu wa mkoa wa CHADEMA nae ni miongoni mwa watu ambao wanaendelea kunufaika na pesa za hao mafisadi…Katibu wa mkoa wa CHADEMA ambae nae ni moja kati ya viongozi wanaoendelea kutumika; ataondoka au atabaki ndani ya chama lakini kwa ajili ya kazi maalumu…
(CHADEMA SHOULD TAKE A NOTE ON THIS!!!). Mkakati mwingine walionao ni pamoja na kuwanunua vijana mkoani Mbeya ili kuvunja ngome ya CHADEMA ambayo imewekeza kwa kiasi kikubwa kwa vijana hao, hasa wa vyuo vikuu…

Mtu wa nne katika huu mpango ni waziri kijana katika serikali ya JK, jina litafutia soon…

NB:
Mwaikela, mhitimu wa darasa la saba, ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini na anadai kufikia mwaka 2015 atakuwa amepata digrii!!! Pesa kutoka CCM zinapitia kwa Mwaikela na baadae kuwafikia viongozi wa CHADEMA.. Wengi wangekua tayari wamehama tatizo, Shitambala aliwazidi spidi ya kula hizo pesa...

Duh...............

Mwaikela(George) anauza dawa za kulevya!!!!!!............hii kali...

Thought George ana mpango wa kugombea jimbo la Songwe.............kumbe Mbeya mjini!!!!!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom