mkuu nahisi unakaa Mby,ulichoongea ni ukweli kwa 95%.mm ni mkazi wa Mby,na mwanachama wa Cdm,mpango mzima uko hivyo na wanaotakiwa ni zaid ya wa2 sita,ktk hao niwe wazi nna mashaka na katibu wa mkoa,mengine tunashindwa kuongea humu,MUNGU IBARIKI CDM,MUNGu ibariki Mby,Mambo yameanza kuwa hadharani kuhusu Shitambala, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya
Mkakati ulisukwa na JK mwenyewe kupitia watu wanne ambapo watatu ni wakazi wa mkoa wa Mbeya na mmoja anatoka nje ya Mbeya, rafiki wa Shitambala wa muda mrefu
Mtu wa kwanza ni Mwaikela ambaye ni mfanyabiashara wa madini mkoani Mbeya Mwaikela ni moja kati ya watu waliokua kwenye orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ambayo alikabidhiwa JK, surprisingly, Mwaikela kwa sasa ni rafiki mkubwa sana wa JK.
Mwaikela ndiye aliyemuunganisha Shitambala na JK, pia alimuunganisha na Jenerari Mboma, mtu wa pili katika hili gemu..
Mboma aliweza kumshawishi Shitambala aharibu uchaguzi wa Mbeya vijijini, kwa ahadi ya kwamba atalichukua jimbo 2015 kupitia CCM
Baada ya hapo, JK akamuomba mtu wa tatu, Mwandosya ili akamfikishie ujumbe Shitambala pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA mkoani Mbeya jambo ambalo walifanikwa kwani hata katibu wa mkoa wa CHADEMA nae ni miongoni mwa watu ambao wanaendelea kunufaika na pesa za hao mafisadi Katibu wa mkoa wa CHADEMA ambae nae ni moja kati ya viongozi wanaoendelea kutumika; ataondoka au atabaki ndani ya chama lakini kwa ajili ya kazi maalumu
(CHADEMA SHOULD TAKE A NOTE ON THIS!!!). Mkakati mwingine walionao ni pamoja na kuwanunua vijana mkoani Mbeya ili kuvunja ngome ya CHADEMA ambayo imewekeza kwa kiasi kikubwa kwa vijana hao, hasa wa vyuo vikuu
Mtu wa nne katika huu mpango ni waziri kijana katika serikali ya JK, jina litafutia soon
NB:
Mwaikela, mhitimu wa darasa la saba, ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini na anadai kufikia mwaka 2015 atakuwa amepata digrii!!! Pesa kutoka CCM zinapitia kwa Mwaikela na baadae kuwafikia viongozi wa CHADEMA.. Wengi wangekua tayari wamehama tatizo, Shitambala aliwazidi spidi ya kula hizo pesa...
1. Influence ya Mwandosya inatoka wapi kwenye jamii ya wasafwa? Nahisi you are not consistent.Mdau are you sure?
Leteni ushabiki kwenye mambo mengine mengi tu ila siasa za Mbeya ni ngumu sana na ile dhana yangu ya siasa ni mchezo ndio inapaswa kuingilia kati
Fanya assignment yako upya ( Hints
1. Angalia historia ya jimbo la mbeya mjini na Wasafwa
2. Angalia uhusiano wa JK na Mwandosya
3. Angalia uhusioano wa JK na Mwakipesile
4. Angalia nguvu ya Mwandosya kwenye siasa za Mbeya
5. Angalia uadui wa Mwakyembe na Mwakipesile
6. Angalia mwitikio hasi wa Sugu kuwa mbunge kwa jamii ya kisomi ya Mbeya
Ukifanya assignment utagundu akuwa
Nguvu ya chadema mbeya ni kubwa endapo tu watachea karata ; kwanza ni kutoonyesha uadui kwa mwandosya, pili ni kujikita kwa wasafwa!
Ninaposema siasa za pale ngumu kwani zina ukabila sana, Wanyakyusa hawana nguvu na jimbo la mbeya mjini kama inavyodhaniwa, wasafwa wana nguvu na kulitokea uasi wa jamii yao na kuchokwa CCM.
Chadema has only opportunity kuigawa CCM vipande vipande mbeya ila sio kwa siasa hizi za kukurupuka.
Sugu hatakiwi Mbeya kwa sasa na ubunge wwake utakuwa wa shinda sana, wanaoweza kukuambia haya ni wale ambao mbeya mjini ni kwetu. Achaneni na Shitambala au Kitambala,
Sugu you can smoothen your position kwa kuangalia na kukutana na wazee wa hapo mjini, ninajua ninachokisema.
Ukabila unaiua Mbeya mjini ! aibu!
Mdau are you sure?

This is hanky panky stori za vikao vya kimpumu, kwamba jamaa wa darasa la saba wakarub shoulders na JK na Mwandosya? Tell it to the birds!Mambo yameanza kuwa hadharani kuhusu Shitambala, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya
Mkakati ulisukwa na JK mwenyewe kupitia watu wanne ambapo watatu ni wakazi wa mkoa wa Mbeya na mmoja anatoka nje ya Mbeya, rafiki wa Shitambala wa muda mrefu
Mtu wa kwanza ni Mwaikela ambaye ni mfanyabiashara wa madini mkoani Mbeya Mwaikela ni moja kati ya watu waliokua kwenye orodha ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya ambayo alikabidhiwa JK, surprisingly, Mwaikela kwa sasa ni rafiki mkubwa sana wa JK.
Mwaikela ndiye aliyemuunganisha Shitambala na JK, pia alimuunganisha na Jenerari Mboma, mtu wa pili katika hili gemu..
Mboma aliweza kumshawishi Shitambala aharibu uchaguzi wa Mbeya vijijini, kwa ahadi ya kwamba atalichukua jimbo 2015 kupitia CCM
Baada ya hapo, JK akamuomba mtu wa tatu, Mwandosya ili akamfikishie ujumbe Shitambala pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA mkoani Mbeya jambo ambalo walifanikwa kwani hata katibu wa mkoa wa CHADEMA nae ni miongoni mwa watu ambao wanaendelea kunufaika na pesa za hao mafisadi Katibu wa mkoa wa CHADEMA ambae nae ni moja kati ya viongozi wanaoendelea kutumika; ataondoka au atabaki ndani ya chama lakini kwa ajili ya kazi maalumu
(CHADEMA SHOULD TAKE A NOTE ON THIS!!!). Mkakati mwingine walionao ni pamoja na kuwanunua vijana mkoani Mbeya ili kuvunja ngome ya CHADEMA ambayo imewekeza kwa kiasi kikubwa kwa vijana hao, hasa wa vyuo vikuu
Mtu wa nne katika huu mpango ni waziri kijana katika serikali ya JK, jina litafutia soon
NB:
Mwaikela, mhitimu wa darasa la saba, ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini na anadai kufikia mwaka 2015 atakuwa amepata digrii!!! Pesa kutoka CCM zinapitia kwa Mwaikela na baadae kuwafikia viongozi wa CHADEMA.. Wengi wangekua tayari wamehama tatizo, Shitambala aliwazidi spidi ya kula hizo pesa...
Sugu hatakiwi Mbeya kwa sasa na ubunge wwake utakuwa wa shinda sana, wanaoweza kukuambia haya ni wale ambao mbeya mjini ni kwetu.
1. Influence ya Mwandosya inatoka wapi kwenye jamii ya wasafwa? Nahisi you are not consistent.
2. Bifu la Mwakyembe (imfact na Mwandosya kwa upande mmoja) dhidi ya Mwakipesile lina impact gani kwa siasa za Mbeya Mjini?
3. Uhusiano wa JK na Mwandosya unasemwa kuwa unaimarika (kwakuwa Mwandosya anataka urais na hana njia nyingine bali kujipendekeza kwa Mwenyekiti) uhusiano huo unaotajwa kuimarika una nafasi gani kwa siasa za Mbeya hasa ukizingatia kuwa M/kiti wa CCM mkoa wa Mbeya hawaivi kabisa na Mwandosya?
4. Shitambala ana mvuto gani kwa wana mbeya yeye kama yeye?
5. Nini mwitikio wa wakazi wa Mbeya kwa Chadema?
Maswali haya yakijibiwa kwa usahihi naamini yanaweza kuleta majibu kama ni kweli hiyo OBOCHA( Operation bomoa chadema) ipo na kama itafanikiwa
Mdau are you sure?
Leteni ushabiki kwenye mambo mengine mengi tu ila siasa za Mbeya ni ngumu sana na ile dhana yangu ya siasa ni mchezo ndio inapaswa kuingilia kati
Fanya assignment yako upya ( Hints
1. Angalia historia ya jimbo la mbeya mjini na Wasafwa
2. Angalia uhusiano wa JK na Mwandosya
3. Angalia uhusioano wa JK na Mwakipesile
4. Angalia nguvu ya Mwandosya kwenye siasa za Mbeya
5. Angalia uadui wa Mwakyembe na Mwakipesile
6. Angalia mwitikio hasi wa Sugu kuwa mbunge kwa jamii ya kisomi ya Mbeya
Ukifanya assignment utagundu akuwa
Nguvu ya chadema mbeya ni kubwa endapo tu watachea karata ; kwanza ni kutoonyesha uadui kwa mwandosya, pili ni kujikita kwa wasafwa!
Ninaposema siasa za pale ngumu kwani zina ukabila sana, Wanyakyusa hawana nguvu na jimbo la mbeya mjini kama inavyodhaniwa, wasafwa wana nguvu na kulitokea uasi wa jamii yao na kuchokwa CCM.
Chadema has only opportunity kuigawa CCM vipande vipande mbeya ila sio kwa siasa hizi za kukurupuka.
Sugu hatakiwi Mbeya kwa sasa na ubunge wwake utakuwa wa shinda sana, wanaoweza kukuambia haya ni wale ambao mbeya mjini ni kwetu. Achaneni na Shitambala au Kitambala,
Sugu you can smoothen your position kwa kuangalia na kukutana na wazee wa hapo mjini, ninajua ninachokisema.
Ukabila unaiua Mbeya mjini ! aibu!
Mzito Kabwela maswali yako yanaonyesha wewe huzifahamu siasa za Mbeya kama Waberyoya na hata kama tutajibu maswali yako hayawezi kuiongezea CDM lolote. Lakini kama chama chochote kinataka kuandaa mkakati wa jimbo la Mbeya kwa 2015 basi mkakati huo lazima uhakikishe kuwa yote yaliyoandikwa na Waberyoya hapo juu yanajibiwa. Usichukue for granted kwamba eti Shitambala amekwisha kwa sababu ya kurudi CCM au ukaiamulia CCM ya 2015 kwa kaushindi ka Sugu ka mwaka 2010, utakuwa unajidanganya. Hao wakazi wa Mbeya mjini ambao ni wasafwa hata wakati wa chama kimoja kwenye miaka ya 1980 waliwahi kumnyima mbunge wa kabila lao Bwana Yilanga na kumpa Mwamfupe kutokana na kwamba Yilanga alikuwa amewakwaza. Kwa hiyo usidhani kuwa eti wanampenda Sugu, No bali walikuwa wamemchoka Mpesya that is all na ndiyo maana wakapiga kura za CHUKI
Duu!!! Mwasalipa holowane.