EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
lakin pia hawa si huwa wanandikiwa hizi speech? manake si ndo kazi ya afisa habari wa wizara? ama nakosea? manake kama aliandikiwa hotuba basi alomwandikia alimpeleka chaka purposely na inaelekea hakufanya proof reading before presentation. ama la hana presentation skills zilizompelekea kukosa kujiamini na hata kuchanganyikiwa katika kusoma.......
Kwenye slide show inasema "Tanzania was formed in 1964 by unifying the Indian Ocean Islands of Pemba and Zanzibar and the mainland territory formerly known as Tanganyika". Unaweza kuisoma in pdf hapa: http://africanbrains.net/ia/wp-content/uploads/2012/10/Hon-Philipo-Augustino-Mulugo-Deputy-Minister-of-Education-and-Vocational-Training-Tanzania.pdf
Kwa hiyo, sidhani kama aliyeandaa hiyo slide show or speech aliweka "Zimbabwe" badala ya "Zanzibar"
Pamoja na hayo still alieyendaa hiyo presentation amekosea sehemu nyingi. Kwa mfano tuseme Waziri alisoma kama ilivyokuwa kwenye slid show kuwa "Tanzania was formed in 1964 by unifying the Indian Ocean Islands of Pemba and Zanzibar and the mainland territory formerly known as Tanganyika".
Hiyo sentensi imekaa sawa kweli? Kingereza changu ni cha kuzugazugali lakini kila nikiisoma hiyo sentensi naona kama ina makosa.
Lakini pamoja na hayo, was that sentence relevant in that particular presentation anyway?
Last edited by a moderator: