Revealed: Mulugo Waziri Mdogo wa Elimu "KIHIYO"

Status
Not open for further replies.

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
May 23, 2008
1,932
985
Ni ukimwa wetu ndiyo unaowafanya wajione wanaweza,
Ni ukimya wetundiyo unaowafanya waone hatuwezi,
Ni ukimywa wetu hata wakituaibisha wanaamini hatuwezi kufanya kitu,
Hata lini....
hadi lini...

Mulugo ni naibu waziri (waziri mdogo) ambaye hana sifa ya elimu ama weledi kuingia katika siasa na wizara aliyoshika.

Elumu ya msingi alirudia mara kadha hadi kuingia Mbeya Day Secondary School mwaka 1990 na kumaliza 1993 ambapo alikuwa akitumia jina la Amimu. Matokeo ya kidato cha Nnne alipata Division 0 (alizungusha).
Wala usishangae walivyandika katika Tanzania Daima la 24/10/12 kuwa" Mulugo amejieleza kuwa kati ya mwaka 2000 na 2004 alifanya kazi ya ualimu katika Shule ya Sekondari Southern Highland, huku akiwa hajapata mafunzo yoyote ya taaluma ya ualimu."

Hajawahi kusoma A levele wala Open University. taarifa za uhakika ni kuwa hadi 2004 alkiwa mwalimu wa Southern Highland alikuwa hana sifa yoyote ya kazi hiyo wala kuanza kusoma.

Yote yaliyoandikwa kuhusu A level na Chuo ni magumashi.

Tune in more to come.
 
Source?
 
ni ukimwa wetu ndiyo unaowafanya wajione wanaweza,
ni ukimya wetundiyo unaowafanya waone hatuwezi,
ni ukimywa wetu hata wakituaibisha wanaamini hatuwezi kufanya kitu,
hata lini....
Hadi lini...

Mulugo ni naibu waziri (waziri mdogo) ambaye hana sifa ya elimu ama weledi kuingia katika siasa na wizara aliyoshika.

Elumu ya msingi alirudia mara kadha hadi kuingia mbeya day secondary school mwaka 1990 na kumaliza 1993 ambapo alikuwa akitumia jina la amimu. Matokeo ya kidato cha nnne alipata division 0 (alizungusha).
Wala usishangae walivyandika katika tanzania daima la 24/10/12 kuwa" mulugo amejieleza kuwa kati ya mwaka 2000 na 2004 alifanya kazi ya ualimu katika shule ya sekondari southern highland, huku akiwa hajapata mafunzo yoyote ya taaluma ya ualimu."

hajawahi kusoma a levele wala open university. Taarifa za uhakika ni kuwa hadi 2004 alkiwa mwalimu wa southern highland alikuwa hana sifa yoyote ya kazi hiyo wala kuanza kusoma.

Yote yaliyoandikwa kuhusu a level na chuo ni magumashi.
A
tune in more to come.
sema kwa sauti watu hawajakusikia kuwa mr mulugo aka aminu alitaga yai fomu foo
 
Kama nihivyo basi itakuwa balaa, haya endeleeni kutupa data mpaka atajuta kuwa waziri mwaka huu! na kama hajajiuzulu basi haya yasemwayo niyakweli, kama akijiuzulu atakua mzalendo wa kweli..
 
Jamaa, a.k.a ONE NINETEEN SIXTY FOUR (1964), A.K.A Tanzania=Tanganyika+Pemba+Zimbabwe hana kosa kwa yoyote yanayo tokea!! Aulizwe aliye mteua!! HATA kilaza mwingine akiteuliwa kuwa Minister, atakubali na kumshukuru mungu!! Ila Mbayaaa eeeh!
 
Ni ukimwa wetu ndiyo unaowafanya wajione wanaweza,
Ni ukimya wetundiyo unaowafanya waone hatuwezi,
Ni ukimywa wetu hata wakituaibisha wanaamini hatuwezi kufanya kitu,
Hata lini....
hadi lini...

Mulugo ni naibu waziri (waziri mdogo) ambaye hana sifa ya elimu ama weledi kuingia katika siasa na wizara aliyoshika.

Elumu ya msingi alirudia mara kadha hadi kuingia Mbeya Day Secondary School mwaka 1990 na kumaliza 1993 ambapo alikuwa akitumia jina la Amimu. Matokeo ya kidato cha Nnne alipata Division 0 (alizungusha).
Wala usishangae walivyandika katika Tanzania Daima la 24/10/12 kuwa" Mulugo amejieleza kuwa kati ya mwaka 2000 na 2004 alifanya kazi ya ualimu katika Shule ya Sekondari Southern Highland, huku akiwa hajapata mafunzo yoyote ya taaluma ya ualimu."

Hajawahi kusoma A levele wala Open University. taarifa za uhakika ni kuwa hadi 2004 alkiwa mwalimu wa Southern Highland alikuwa hana sifa yoyote ya kazi hiyo wala kuanza kusoma.

Yote yaliyoandikwa kuhusu A level na Chuo ni magumashi.

Tune in more to come.

Ndio Matunda ya RUSHWA unapata UOZO; Ndio Maneno ya RAIS kusema Anapenda VIJANA waongoze NCHI; Hawajui kuwa SeRIKALI ya CCM ndio ILIYOUHARIBU MWENDO wa ELIMU NCHINI; AZIMIO LA ZANZIBAR na kusomesha watoto wao na KUWAPA ELIMU BORA; Na KUSAHAU kuwa wengi wataanguka kwenye MFUMO wa ELIMU

Hakuna TENA Historia ya TANZANIA, EAST AFRICA or AFRICA kwenye VITABU VYA ELIMU

CCM inaanguka na ELIMU, VIWANDA, MADINI yaani kila kitu
 
Hoya mwacheni ajichane! Kusoma kusoma atapata mwl wa tuition pale mchikichini kipindi mia
 
Alisoma Songea Boys.Kuna Mzee mmoja alikuwa Boss alimfundisha Mulugo Songea Boys, sina hakika alisoma level gani. Nakumbuka aliwahi kutoa computer 5 kwenye ofisi yetu kama zawadi na shukrani kwa Mwalimu wake.Ila jamaa ni kilaza mno
 
Huyu Jamaa inabidi ajiwajibishe, ajiuzulu hii imezidi daa tunahaki ya kumpeleka mahakamani. Mchungaji Mtikila hajaisikia hii? Afungue kesi haraka haraka, lazima kutakuwa na kigezo cha kumpandisha kizimbani huyu mtuhumiwa
 
juzi niliweka comment kwamba young billionaire ndo alimpiigia pande kwa mshua ,ikatolewa lakini habari ndo hiyo
 
Kama kuna kitu wana harakati na watanzania wote tunatakiwa kushikamana ni katika suala hili kuchezea elimu, maana sasa its too much, maana imeanzishwa stail ya ku shade kiasi kwamba sasa hakuna mitihani ya kuandika wala kochora.Huyu bwana kuna siku alikuwa anatoa taarifa ya mtihani wa darasa la saba muhandishi wa habari akamuuliza kesho kuna motihani gani itakayofanywa alishindwa kukumbuka,akamuuliza muandishi wa habari hivi maarifa ndio uraia? Anatakiwa kufanyiwa opereshen kubwa kutoa uchafu wote vinginevyo tutaendelea kula sumu.
 
mawazi wa huyu raisi wote vilaza tu, hakuna wa kujitetea...akina nchimbi wote wamesoma elimu ya uzeeni...sasa unategemea nini hapo. so tusi mlaumu mulugo peke yake. maana na yeye amejikuta yumu katika wasio kuwamo.
 
oi nchi hii inahitaji kina Tundu Lissu kila idara kuondoa uozo kwenye mambo muhimu kwa nchi

Tanzania hakuishi vituko majuzi tumesikia waziri Membe kaenda kusign mkataba ambao si wake tena bila kuusoma.. Leo Tunasikia Kihiyo ... This is only happen in Tanzania...

Tunapoelekea kunahitajika midaharo kwa kila anayeteuliwa kuwa waziri ahojiwe vilivyo na wnanchi ili watu wajue nia yake ya kukubali uteuzi na sio kumsaidi mtoto wa sultani na sultani Mkw3re wawe tajiri kama bill gates
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom