Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,932
- 985
- Thread starter
- #21
Alisoma Songea Boys.Kuna Mzee mmoja alikuwa Boss alimfundisha Mulugo Songea Boys, sina hakika alisoma level gani. Nakumbuka aliwahi kutoa computer 5 kwenye ofisi yetu kama zawadi na shukrani kwa Mwalimu wake.Ila jamaa ni kilaza mno
Kwenye CV yake anaonyesha Box 2 alisoma A level. Jiulize ni kweli form six wa 1996 ambaye pia akawa anafundisha O level anaweza akawa na kiingereza kibovu vile si cha kuonge tu bali hata utamkaji wa maneno?
Huyo boss ni nani? Unajua hata Rostam Azizi alipata watu wa kumsaidia kuwa ni kweli yeye ni mzaliwa wa Tabora; lakini anapoulizwa yeye mwenyewe ikiwa wewe ni mzaliwa na mkulia Tabora tuambie ulisoma na wakina nani shule ya Msingi hajawahi kumtaja hata mmoja? Sasa tusaidie kwa kumuuliza Mbeya Day ulisoma na wakina nani na Songea boys ulisoma na wakina nani? Ikiwa ulisoma Box 2 ulikaa bweni gani? Kama haitoshi centre yenu ya OUT Mbeya ilikuwa wapi na mlikuwa mnasoma na wakina nani?
Kama kwa Rostam iliwezekana sembuse kwa Mulugo wa kuchonga kuwapata wawili?
Indicator ya kujichanganya kwa kutoweka madesa sawa ni hii; akiisha kuchukua cheti cha kufuji cha Philip Mulugo akatengeneza kuwa Form I-IV alisoma 1990-1993,darasa la kwanza alianza lini? Akafanya 1989 - 7 =1982, bonge la kosa jingine. Wakati alipaswa kusema 1983.
Mulugo sema ukweli, uliposhindwa mara ya kwanza drs ulikwenda kurudia darasa la ngapi kabla yahamia Mbeya mjini kisha kuchaguliwa Mbeya day?
Tunakwenda mpaka umalila kuchukua data zaidi za wazazi, wanarika wake shule, mwalimu aliyemsaidia mpango wa kukariri, majibu ya NACTE 1993 [kutoka vitabuni, kwani yaliku bado hayajaanza kuwekwa ktk mtandao]
Akijichanganya tu kaumbuka.