Revealed; DC WA IGUNGA Fatuma Joseph Kimario Sio Muislamu.

Status
Not open for further replies.

Sanja

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
499
223
Tuko ktk kipindi cha mpito, kwa kila mtanzania kuamua kwa nafsi yake kuutafuta ukweli nakuufuata au ku ujua ukweli na kuamua kuwasaliti watanzania na nafsi yake.
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
DC wa Igunga Bi.Fatuma Kimario ameolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki, ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .
Hii picha ni ya shamba la DC lililopo Tegeta katika nyumba yake na mumewe Kimario.

View attachment 37784

hii noma kweli kumbe DC anakula kitimoto...
eheeee kuwa uyaone..
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
Picha zote za shamba lake Tegeta tayari ziko hewani JF sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama.

Jamani si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.

Hijabu sisi sote tunaufhamu na kuiheshimu sana; hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
 
Status
Not open for further replies.
13 Reactions
Reply
Top Bottom