Rev. Mtikila yu wapi jamani?

Alizidiwa maarifa alipotokea kwenye payroll ya mkuu fulani or at least msaada
 
GrEatThinkers,

Mtikila ni Mtanganyika wa kweli aliyeidai Katiba mpya wakati wengine tunakoroma usingizini na kumbeza.

Mtikila ni Mtanganyika aliyeshitukia Magabachori kuwa ni wezi wa kutupa, tukamuona hafai.

Mtikila ni Mtanganyika ambaye aliishaona tunapoona leo toka mwanzoni mwa miaka ya Tisini.

Mtikila ni Lulu, Fikilieni ni kitu gani ambacho leo tunakidai yeye hakukidai miaka hiyo.

:ranger:Shukrani Rev.Mtikila kwa Uzalendo na Utanganyika wako.:ranger:

Pamoja na kumkubali alipokea hela haram toka kwa RA
 
Maaskofu 'wagombea' waraka wa Mtikila
MAASKOFU waliohudhuria mkutano wa siku moja wa Jukwaa la Wakristo, juzi walifanya kazi ya ziada kupata nakala ya waraka ulioandaliwa na mwenyekiti wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ambaye alitumia mkutano huoo kuusambaza.

Mkutano huo ulikuwa wa kuzindua chombo hicho kikubwa cha mshikamano baina ya Wakristo, lakini Mchungaji Mtikila, ambaye anaongoza kanisa la Full Salvation, aliutumia kugawa takriban nakala 60.
Alikuwa akigawa waraka ambao ulisababisha polisi kuvamia nyumba yake iliyo Mikocheni na kufanya upekuzi kabla ya kuondoka na mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi wa kiroho na kwenda kumuhoji kituo cha polisi kwa saa kadhaa zaidi ya mwezi mmoja uliopita.

Waraka huo wenye kurasa 24 ambao Mwananchi ina nakala yake, unazungumzia harakati za kuwaamsha waumini wa dini ya Kikristo kuamka kutetea dini yao dhidi ya utawala wa sasa ambao mchungaji huyo anautuhumu kuwa unawabagua.

Waraka huo pia unawataja watu mbalimbali, kuanzia Rais Kikwete, viongozi wengine wa kisiasa na watu maarufu ukiwahusisha na tuhuma mbalimbali kubwa.
Maaskofu kadhaa walionekana kumfuata Mtikila ili kupata nakala ya waraka huo ambao mchungaji huyo alikuwa amebeba nakala zake kwenye mkoba wa mkononi.

“Nilikuja na nakala chahe sana... 60 tu, zikaisha na wengine wakawa wanautaka tena," alisema Mtikila mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuzindua chombo hicho ambacho kazi yake kuu itakuwa ni kutetea haki za Wakristo.

"Nimegawa hapa kwa sababu viongozi wenyewe waliutaka ndiyo nikaona niwape; nisiwe mchoyo,” alisema Mtikila.

Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).”
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

“Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).

Acheni kajiifilie huko kuzimu hichi kizee cha watu. Kwanza ni kidini sana, eti TZ kuna wakristo 27mil? hata hesabu hakajui. RIP politically. Aendelee kwenda kukopa kwa kina RA.
 
My friend Lore Gwakisa,Thanks for being on my side because,

There is time to Horseplay but also there is time to be Serious.

There is time to See but also there is Time to Observe.

Now,

If you observe the way Rev. Mtikila stood for poor Tanzanians since i ever Knew!

The man reveals a true sense of nationalism, a man for Tanganyika is a Tanganyikan.

I use to see the Tanganyika Nationa flag, at NHC quarters opposite to Uhuru Mchanganyiko Pr.school
But it didnt gave me the feedback/reflection until CDM & Dr Slaa came in me.

Time has Come to recognise and reward the Great man, who has been on Frontline for Tanganyika.

:A S-coffee:Thanks to those who See and Observe him like the way i do!:A S-coffee:
 
Inaonekana kweli una Lisence ya kuua maskini.

Naona Avatar yako jinsi mnavyowarubuni maskini na kuwekeza kwa umaskini wao.

Hawajaamka tu lakini nenda kule Meatu ukaweke hilo li picha la Mtalii.

Kule wameamka, Operation Sangara imefanya kazi kubwa.

Inakuja Operation Katiba mpya, Januari hii isikilizie kama hutabaki wewe maana hata dodoma itafika.

Vitabu vyenye heshima yake vimeandika:

"Karibisha mgeni nyumbani kwako lakini usikubali akutawale"

Tumetenda dhambi kubwa kuiacha Nchi na Rasilimari zetu mikononi mwao.

Usiwe MS namba 2.

Tatizo lako mkuu Spencer unashindwa kusoma alama za nyakati na umeshindwa kuread between the line, mimi si wa hivyo, na siwezi kuwa mtu wa hovyohovyo, na najuwa namna ya kufikiri vizuri.

View attachment 19500
 
Maaskofu 'wagombea' waraka wa Mtikila
MAASKOFU waliohudhuria mkutano wa siku moja wa Jukwaa la Wakristo, juzi walifanya kazi ya ziada kupata nakala ya waraka ulioandaliwa na mwenyekiti wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ambaye alitumia mkutano huoo kuusambaza.

Mkutano huo ulikuwa wa kuzindua chombo hicho kikubwa cha mshikamano baina ya Wakristo, lakini Mchungaji Mtikila, ambaye anaongoza kanisa la Full Salvation, aliutumia kugawa takriban nakala 60.
Alikuwa akigawa waraka ambao ulisababisha polisi kuvamia nyumba yake iliyo Mikocheni na kufanya upekuzi kabla ya kuondoka na mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi wa kiroho na kwenda kumuhoji kituo cha polisi kwa saa kadhaa zaidi ya mwezi mmoja uliopita.

Waraka huo wenye kurasa 24 ambao Mwananchi ina nakala yake, unazungumzia harakati za kuwaamsha waumini wa dini ya Kikristo kuamka kutetea dini yao dhidi ya utawala wa sasa ambao mchungaji huyo anautuhumu kuwa unawabagua.

Waraka huo pia unawataja watu mbalimbali, kuanzia Rais Kikwete, viongozi wengine wa kisiasa na watu maarufu ukiwahusisha na tuhuma mbalimbali kubwa.
Maaskofu kadhaa walionekana kumfuata Mtikila ili kupata nakala ya waraka huo ambao mchungaji huyo alikuwa amebeba nakala zake kwenye mkoba wa mkononi.

“Nilikuja na nakala chahe sana... 60 tu, zikaisha na wengine wakawa wanautaka tena," alisema Mtikila mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuzindua chombo hicho ambacho kazi yake kuu itakuwa ni kutetea haki za Wakristo.

"Nimegawa hapa kwa sababu viongozi wenyewe waliutaka ndiyo nikaona niwape; nisiwe mchoyo,” alisema Mtikila.

Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).”
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.

“Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).

Acheni kajiifilie huko kuzimu hichi kizee cha watu. Kwanza ni kidini sana, eti TZ kuna wakristo 27mil? hata hesabu hakajui. RIP politically. Aendelee kwenda kukopa kwa kina RA.

Ikiwa wakristo ni 27 millioni, sudan ya kusini inatupa darasa gani? si tuwaachie wazenj na usudan ya kaskazini!
 
GrEatThinkers,

Mtikila ni Mtanganyika wa kweli aliyeidai Katiba mpya wakati wengine tunakoroma usingizini na kumbeza.

Mtikila ni Mtanganyika aliyeshitukia Magabachori kuwa ni wezi wa kutupa, tukamuona hafai.

Mtikila ni Mtanganyika ambaye aliishaona tunapoona leo toka mwanzoni mwa miaka ya Tisini.

Mtikila ni Lulu, Fikilieni ni kitu gani ambacho leo tunakidai yeye hakukidai miaka hiyo.

:ranger:Shukrani Rev.Mtikila kwa Uzalendo na Utanganyika wako.:ranger:

Ndugu yangu umezungumza, mambo aliyaona karibu miaka 20 iliyopita wengine wanayaona leo, mtikila ni lulu
 
Kweli jamaa alikuwa mpinzani wa kweli haya yote wapinzani wanalilia sasa yeye aliyaanza kitambo ila aliingia kwenye mtego wa mafisadi kama ZK alivyonasa kwa mafisadi......Njaa mbaya:whoo::whoo::bump:
 
Mkuu,

Rev. Alikuwa anawakosesha watu usingizi. Wakaamua kumuwekea mitego, akanasa....kwa lugha ya leo.. Fisadis wamemchakachua Rev. Mtikila.

kwa kuogopa kuumbuliwa zaidi, ameamua yaishe!!
Alizidiwa ujanja na vijana wa mjini.
 
Tatizo lako mkuu Spencer unashindwa kusoma alama za nyakati na umeshindwa kuread between the line, mimi si wa hivyo, na siwezi kuwa mtu wa hovyohovyo, na najuwa namna ya kufikiri vizuri.

View attachment 19500

Huwa napataga sana shida watu kutumia kiholela alama za nyakati!

Go west, go east, Hakuna (note this down), hakuna mpinzani yeyote aliyefanya remakable changes ambazo ni tangible kama Mtikila, mtikila anaongea na anatekeleza na yuko tayari kwenda jela! caliber ya aina yake haipatikani kwa mwanasiasa yeyote wa leo hii! Taja mmoja halafu utueleze kafanya nini! wengi ni KUONGEA NA KUISHIA HAPO TU! wezi walewale, miaka inaenda, wimbo uleule, tumerogwa!

Pengine umeanza siasa hivi majuzi! I am telling you even if you wont recognize him, Mtikila will remain in the politics of Tanzania as an Icon! his legacy will remain forever!

Ukikutana na mtu kama Slaa kamwe hawezi kumdharau Mtikila simply these guys made a foundation of all opposition parties in this country, unaowaona wapinzani leo their courage took from people like Mtikila! unless hujui maana ya kuweka platform

Unachofanya ni HIVI..... kesho watu watamdharau Slaa, maana muda wake, unakwenda, jana mlidharau Mrema! very same Mrema who made CCM suffer in the presence of Nyerere! mtamdharau Fundikira na mapalala!

Historia na caliber yako ndiyo iliyowatupa akina Bibi Titi,imewatupa waanzilishi wa TAA na TANU na kumbeba Nyerere!

You need to be careful when talking issues za historia, we will stand up and rise and say no, we knew what happened, where we are and where we are going! and this country need crazy one like Mtikila!

Read this post after ten years and ask Tanzanians (eveny yourself) where are those shining opposition leders now ,they will be forgotten! only wazee can tell you this we have this very bad habit in everywhere ! sorry that you have manifested it! sorry for that.

Unaweza kutaja mafanikio ya Mtikila nchi hii?? ukiweza kujua kila kimoja, basi usingesema yote uliyosema.

pencil.png
 
Mkuu,

Rev. Alikuwa anawakosesha watu usingizi. Wakaamua kumuwekea mitego, akanasa....kwa lugha ya leo.. Fisadis wamemchakachua Rev. Mtikila.

kwa kuogopa kuumbuliwa zaidi, ameamua yaishe!!
Alizidiwa ujanja na vijana wa mjini.

Ukiangalia kisiasa this might sound loud ila ukiangalia hali halisi ya maisha unapata kitu kingine kabisa

Imagine leo, Slaa anasema analala na njaa na familia yake (How many Tanzania will be willing to contribute so that Mr. Slaa could survive??) how far can we go helping these politicians so that they can stand for us? fikiria wewe personally, hawa watu wanatalkiwa kula, familia zao ziende shule na kupata mahitaji yao yote!

where are they getting this money from? usiseme ruzuku hapa!

Ukipata jibu ndio utagundua watanzania tunataka spoon feeding, tunataka final products, tunataka kufanyiwa kila kitu..

Hawa mafisadi, ndiyo tunakula nao, tunapanga nyumba zao, tunapanda daladala zao, tunanunua producs zao, tunaishi nao, ni majirani zetu, INSHORT mafisadi wasipoenda jela, tuko no, your next door neighbour possibly ni fisadi! alipita kwa watu wangapi kukopa? alikuwa na shida kiasi gani? this problem liko kwa wanasiasa wengi na 'wanaume wengi' when you dont have option your enemy might serve you!!!!! Mtikila hakukaa kimya baada ya kukopa na hakukaa kimya baada ya kashfa! Mtikila hayuko kimya sasa! pengine anaangalia VUVUZELAs ambao wanapiga kelele usiku na mchana na hakuna kinachotokea, ROSTAM kama fisadi anatakiwa aende jela, la si hivyo ni clean! uko hapo?? najua utaguna ndiyo....tumeshindwa kuchaguz viongozi wazuri wa kutekeleza sheria, tunataka tujitenge nao..vipi hawa mafisadi wa size ya kati tunaoishi nao, au ufisadi lazima uwe kwa akina Rostam tu na huku mtaani ni wasafi !!!!! fikiri hizi facts na think beyond box!
 
Ingekuwa vizuri angegombea ubunge tungepata mazuri zaidi kutoka kwake, pia kama shida ni milion 10 angepata kihalali kwa mshahara na marupurupu siyo kwenda kujishusha kwa rostam aziz
 
Kwa hiyo mkuu waberoya huyu bwana kuuita mwili wa hayati baba wa taifa ni MZOGA kwako wewe ndio vigenzo kwamba huyu ndio mwanasiasa kwelikweli, basi kazi ipo.
 
Huwa napataga sana shida watu kutumia kiholela alama za nyakati!

Go west, go east, Hakuna (note this down), hakuna mpinzani yeyote aliyefanya remakable changes ambazo ni tangible kama Mtikila, mtikila anaongea na anatekeleza na yuko tayari kwenda jela! caliber ya aina yake haipatikani kwa mwanasiasa yeyote wa leo hii! Taja mmoja halafu utueleze kafanya nini! wengi ni KUONGEA NA KUISHIA HAPO TU! wezi walewale, miaka inaenda, wimbo uleule, tumerogwa!

Pengine umeanza siasa hivi majuzi! I am telling you even if you wont recognize him, Mtikila will remain in the politics of Tanzania as an Icon! his legacy will remain forever!

Ukikutana na mtu kama Slaa kamwe hawezi kumdharau Mtikila simply these guys made a foundation of all opposition parties in this country, unaowaona wapinzani leo their courage took from people like Mtikila! unless hujui maana ya kuweka platform

Unachofanya ni HIVI..... kesho watu watamdharau Slaa, maana muda wake, unakwenda, jana mlidharau Mrema! very same Mrema who made CCM suffer in the presence of Nyerere! mtamdharau Fundikira na mapalala!

Historia na caliber yako ndiyo iliyowatupa akina Bibi Titi,imewatupa waanzilishi wa TAA na TANU na kumbeba Nyerere!

You need to be careful when talking issues za historia, we will stand up and rise and say no, we knew what happened, where we are and where we are going! and this country need crazy one like Mtikila!

Read this post after ten years and ask Tanzanians (eveny yourself) where are those shining opposition leders now ,they will be forgotten! only wazee can tell you this we have this very bad habit in everywhere ! sorry that you have manifested it! sorry for that.

Unaweza kutaja mafanikio ya Mtikila nchi hii?? ukiweza kujua kila kimoja, basi usingesema yote uliyosema.

pencil.png

You have said it all mkuu Waberoya, this is the type of fellow who dares.
Ingawaje wakati mwingine he holds a loose canon that fires randomly!!
 
Kosa kubwa alilolifanya Mtikila kule Tarime lililkuwa kusambaza waraka wa KUTUBU kwa kufanya dhambi ya kutumwa na MAFISADI kuishambulia CHADEMA na Mbowe kule. Huo waraka wake ndio umemuweka stoo ya siasa Tanzania.
 
Jamani kimya kingi kina mshindo wake nyie subirini tu ataibuka sasa hivi na hivi ishu ya katiba inavyotokota we ngoja maana yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kuichokonoa kama mnakumbuka vizuri
 
wewe sio GENIUS BRAIN UNAJIPACHIKA MAJINA YASIYO YAKO HAYO MANENO ULIYO ANDIKA HAYANA MSINGI TAFUTA MANENO MENGINE ETI GENIUS hawezi andika upuuzi huu.

Amekaa kimya kama alivyokaa kimya Slaaa, kwani wote hao ni viongozi ambao walihubiri siasa za udini. Na mara nyingi huwa hawadumu kwenye siasa viongozi wa aina hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom