GrEatThinkers,
Mtikila ni Mtanganyika wa kweli aliyeidai Katiba mpya wakati wengine tunakoroma usingizini na kumbeza.
Mtikila ni Mtanganyika aliyeshitukia Magabachori kuwa ni wezi wa kutupa, tukamuona hafai.
Mtikila ni Mtanganyika ambaye aliishaona tunapoona leo toka mwanzoni mwa miaka ya Tisini.
Mtikila ni Lulu, Fikilieni ni kitu gani ambacho leo tunakidai yeye hakukidai miaka hiyo.
:ranger:Shukrani Rev.Mtikila kwa Uzalendo na Utanganyika wako.:ranger:
Alizidiwa maarifa alipotokea kwenye payroll ya mkuu fulani or at least msaada
Inaonekana kweli una Lisence ya kuua maskini.
Naona Avatar yako jinsi mnavyowarubuni maskini na kuwekeza kwa umaskini wao.
Hawajaamka tu lakini nenda kule Meatu ukaweke hilo li picha la Mtalii.
Kule wameamka, Operation Sangara imefanya kazi kubwa.
Inakuja Operation Katiba mpya, Januari hii isikilizie kama hutabaki wewe maana hata dodoma itafika.
Vitabu vyenye heshima yake vimeandika:
"Karibisha mgeni nyumbani kwako lakini usikubali akutawale"
Tumetenda dhambi kubwa kuiacha Nchi na Rasilimari zetu mikononi mwao.
Usiwe MS namba 2.
Maaskofu 'wagombea' waraka wa Mtikila
MAASKOFU waliohudhuria mkutano wa siku moja wa Jukwaa la Wakristo, juzi walifanya kazi ya ziada kupata nakala ya waraka ulioandaliwa na mwenyekiti wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ambaye alitumia mkutano huoo kuusambaza.
Mkutano huo ulikuwa wa kuzindua chombo hicho kikubwa cha mshikamano baina ya Wakristo, lakini Mchungaji Mtikila, ambaye anaongoza kanisa la Full Salvation, aliutumia kugawa takriban nakala 60.
Alikuwa akigawa waraka ambao ulisababisha polisi kuvamia nyumba yake iliyo Mikocheni na kufanya upekuzi kabla ya kuondoka na mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi wa kiroho na kwenda kumuhoji kituo cha polisi kwa saa kadhaa zaidi ya mwezi mmoja uliopita.
Waraka huo wenye kurasa 24 ambao Mwananchi ina nakala yake, unazungumzia harakati za kuwaamsha waumini wa dini ya Kikristo kuamka kutetea dini yao dhidi ya utawala wa sasa ambao mchungaji huyo anautuhumu kuwa unawabagua.
Waraka huo pia unawataja watu mbalimbali, kuanzia Rais Kikwete, viongozi wengine wa kisiasa na watu maarufu ukiwahusisha na tuhuma mbalimbali kubwa.
Maaskofu kadhaa walionekana kumfuata Mtikila ili kupata nakala ya waraka huo ambao mchungaji huyo alikuwa amebeba nakala zake kwenye mkoba wa mkononi.
Nilikuja na nakala chahe sana... 60 tu, zikaisha na wengine wakawa wanautaka tena," alisema Mtikila mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuzindua chombo hicho ambacho kazi yake kuu itakuwa ni kutetea haki za Wakristo.
"Nimegawa hapa kwa sababu viongozi wenyewe waliutaka ndiyo nikaona niwape; nisiwe mchoyo, alisema Mtikila.
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa kwa Rais Kikwete kwa sababu alizodai kuwa kiongozi huyo wa nchi ni adui mkubwa wa Ukristo.
Wakristo nchini tupo milioni 27 hivyo ajira ya JK hivi sasa ipo shakani," alisema.
Viongozi wa makanisa ambayo yalishirika katika kuunda jukwaa hilo ni pamoja na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Tec), Jumuiya ya Makanisa ya Kikristo (CCT) na Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT).
Acheni kajiifilie huko kuzimu hichi kizee cha watu. Kwanza ni kidini sana, eti TZ kuna wakristo 27mil? hata hesabu hakajui. RIP politically. Aendelee kwenda kukopa kwa kina RA.
GrEatThinkers,
Mtikila ni Mtanganyika wa kweli aliyeidai Katiba mpya wakati wengine tunakoroma usingizini na kumbeza.
Mtikila ni Mtanganyika aliyeshitukia Magabachori kuwa ni wezi wa kutupa, tukamuona hafai.
Mtikila ni Mtanganyika ambaye aliishaona tunapoona leo toka mwanzoni mwa miaka ya Tisini.
Mtikila ni Lulu, Fikilieni ni kitu gani ambacho leo tunakidai yeye hakukidai miaka hiyo.
:ranger:Shukrani Rev.Mtikila kwa Uzalendo na Utanganyika wako.:ranger:
Tatizo lako mkuu Spencer unashindwa kusoma alama za nyakati na umeshindwa kuread between the line, mimi si wa hivyo, na siwezi kuwa mtu wa hovyohovyo, na najuwa namna ya kufikiri vizuri.
View attachment 19500
Mkuu,
Rev. Alikuwa anawakosesha watu usingizi. Wakaamua kumuwekea mitego, akanasa....kwa lugha ya leo.. Fisadis wamemchakachua Rev. Mtikila.
kwa kuogopa kuumbuliwa zaidi, ameamua yaishe!!
Alizidiwa ujanja na vijana wa mjini.
Huwa napataga sana shida watu kutumia kiholela alama za nyakati!
Go west, go east, Hakuna (note this down), hakuna mpinzani yeyote aliyefanya remakable changes ambazo ni tangible kama Mtikila, mtikila anaongea na anatekeleza na yuko tayari kwenda jela! caliber ya aina yake haipatikani kwa mwanasiasa yeyote wa leo hii! Taja mmoja halafu utueleze kafanya nini! wengi ni KUONGEA NA KUISHIA HAPO TU! wezi walewale, miaka inaenda, wimbo uleule, tumerogwa!
Pengine umeanza siasa hivi majuzi! I am telling you even if you wont recognize him, Mtikila will remain in the politics of Tanzania as an Icon! his legacy will remain forever!
Ukikutana na mtu kama Slaa kamwe hawezi kumdharau Mtikila simply these guys made a foundation of all opposition parties in this country, unaowaona wapinzani leo their courage took from people like Mtikila! unless hujui maana ya kuweka platform
Unachofanya ni HIVI..... kesho watu watamdharau Slaa, maana muda wake, unakwenda, jana mlidharau Mrema! very same Mrema who made CCM suffer in the presence of Nyerere! mtamdharau Fundikira na mapalala!
Historia na caliber yako ndiyo iliyowatupa akina Bibi Titi,imewatupa waanzilishi wa TAA na TANU na kumbeba Nyerere!
You need to be careful when talking issues za historia, we will stand up and rise and say no, we knew what happened, where we are and where we are going! and this country need crazy one like Mtikila!
Read this post after ten years and ask Tanzanians (eveny yourself) where are those shining opposition leders now ,they will be forgotten! only wazee can tell you this we have this very bad habit in everywhere ! sorry that you have manifested it! sorry for that.
Unaweza kutaja mafanikio ya Mtikila nchi hii?? ukiweza kujua kila kimoja, basi usingesema yote uliyosema.