Rev Fr Masanilo

Rev Fr Masanilo

Kina Mayuku, Zumo na kina Obi, Seba na Linda. Hadithi zilikuwa tamu sana zile
 
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.

Ni kweli huwa ana mawazo mazuri lkn kwa upande wangu Mzee Mwanakijiji ni zaidi ya wote.
 
Safi sana swahiba Rev Masa... Umemtengenezea Bujibuji siku zake, this is good news

Sasa na wewe Bujibuji hebu mtengenezee BJ siku zake chapchap!!:biggrin1:
 
Mhhhh,

Mimi chichemi!!!

Mubarikiwe nyie bantu wote!!
 
Licha ya kwamba hapa JF nafurahishwa na michango ya watu wengi lakini huyu jamaa ananitengenezea sana siku zangu.
Mungu akupe maisha marefu na mapepo wachafu wanaosababisha BAN wakutoke na wamuingie Malaria Sugu mara moja.
Kaka naona unakwenda kinyume na imani yako...!
 
Back
Top Bottom