retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
Kha!!! Jamani kwani mwanamke duniani ni huyu tuu?

Eti bana.yani naona umenywea mbaya.unapenda title eeee?.nitafute mie nina taito likali pilot cha mtoto.ila uwahi mihadi i wont tolerate even 10 minutes delay.
 
Taito kubwa kuliko zote kwa mwanaamke ni K

Mengine mapambo tu.

Wee ni Salma wa Magogoni?

Eti bana.yani naona umenywea mbaya.unapenda title eeee?.nitafute mie nina taito likali pilot cha mtoto.ila uwahi mihadi i wont tolerate even 10 minutes delay.
 

Pole jamaa alikukimbia steers kumbe huna radha kwake.
 
Nyie nao mnawakatisha moyo wenzenu, nimekatiza love connect siku ya pili leo hakuna mtu aliyetangaza nia!Hebu tupisheni na mipasho yenu!!

Natafuta mrembo wa kuoa baadae tukiendana tabia! Sifa awe mweupe na asiwe mfupi sana(Maana mimi urefu nakaribiana na Hasheem Thabit so tusijekuwa kituko)!Elimu angalau form four na asizidi shahada ya kwanza (Degree). Aliye serious anakalibishwa kuni-pm!
 

Umezungumza maneno ya ki utu uzima ndugu yangu kwani nami nimekuwa nikihoji hivyo hivyo. Maana ukweli ni kuwa mpaka watu mkiamua kukutana hapa JF ni kuwa mumeamua ku compromise identity yenu na hiyo ni saini ya trust. Mbona mnahujummu trust yenu sasa? Nilifikiri watu watakuwa matured enough kuweza kuvumiliana na kusitiriana hata pale ambapo mahusiano tarajiwa hayakwenda au kukidhi viwango tarajiwa vya wahusika.

Hii itafanya hata wale wengine wenye nia njema ya kupata 'wenza' kupitia hapa JF waanze kujenga hisia za hofu na mashaka kwa kutokuwa na ujasiri wa kuthubutu, hususan dada zetu ambao mara nyingi tumekuwa tukidai kuwa hawajiamini. Wa Marekani wana usemi kuwa ''whatever happens in vegas stays in vegas"
 
Umepitwaje mtanange round ya 3

Naona paka mweusi katolewa kwa knock out ya taito ya dada mstaafu.

Kaangushwa chali.

Pole jamaa alikukimbia steers kumbe huna radha kwake.
 

ah kumbe wee pilot...mhm nyc but honey being a pilot dnt mean u smart...smart is having a nobel prize in physics now thats smart.
duh sasa wee umeahindwa pata macaptain hapo airport uje ujiangaishe huku jf were ppl aint real
 
Hivi hata ungo wa usiku si ni ndege?

Ujue uzuri wa kiswahili hatutofautishi bird na eroplane, zote ni ndege tu.

Anayeendesha kunguru anaendesha ndege, anayeendesha boeng naye aanaendesha ndege

Basi raha tupu

Yani wewe Kongosho nahisi ulihusika kusaidia shughuli ya mtongozo lolz..

Palipokushinda tu.. Ni planning ya hyo first visit...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…