Kwa wana JF ambao hawajabahatika kuona matokeo hayo. Nimeona niwaleteeni humuhumu ndani ya nyumba.
Nimeyashikiza(Attach)katika pdf format kwa urahisi wa kusoma.
Kazi kwenu
hapa tumekuwa wa kumi na nne ila kwa vile walitumia vigezo vya 2005 ,mwakani baada ya kombora la Slaa na Buzwagi huenda tukawa wa .....malizia wewe usije nisuta bure kwa kusema ukweli.
Mo Ibrahim is one of the greatest African sons.Yeye kutoa tuzo ya good governance inaweza kuchukuliwa kama kitu kigogo ila at a large extent it has been like a morale to some of AFrican countrties to improve their governance.I believe by doing so he is as well helping Sudan a great deal!