seyf22
Member
- Aug 1, 2016
- 84
- 21
kua na subra kama unaenda uko uendako ni kuhus masuala ya chuo lazima wa demand slip..boy be patientAhaaa poa kaka tatzo mimi nataka kusafli kwenda nje ya mkoa na hata ikiwezekana nje ya nchi na ninampango nikitokea hapo niende chuon moja kwa moja ila hiyo slip inanipa wakat mgum kwan naona kama itakuwa usumbufu kurudia mbeya wakat naenda chuon