Je, Result slip za NECTA zinatoka lini?

Samahan nilikuwa na uliza mimi nilirudia nikafanya mtihani mwaka jana wa NECTA nimepata D 2.

Je, hapo chet changu kitakuaje na lini result slip zitatoka
Result slip zimeshatoka pia cheti kitasoma hizo D mbili yaani Necta au baraza la mitihani wao hawanaga utaratibu wa Kuunganishe vyeti Bali wanaunganisha matokeo tu .
 
Back
Top Bottom