incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Ndugu, nipo Mbeya na nina mpango wa kusafli kwenda nje ya mkoa kiasi kwamba naweza kuchelewa kurudi. Ambae anajua lini result slips zitakuwa tayari aniambie ili nijue kama uwezo wa kusubiri upo au niondoke then nitatafta altenative way ya kuipata maana naweza nisipate muda wa kurudi Mbeya.