Restaurant nzuri ndani ya dar kwa ajili ya "candle light dinner"

BabaRita

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
447
Reaction score
253
Wadau leo najisikia kumsprize mamarita ila mi sio mtu wa viwanja sana.Naomba mtu anayefahamu restaurant nzuri anisaidie,leo ni enjoy kidate changu na malaika wa moyo wangu mamarita
 
Akemi pale posta ndo inawabamba watoto ya mujini kwa sasa. Japo sie ma born here here ni mwendo wa kwa Edo chipps na American chipps tu special kwa kuongeza vitambi na minyama uzembe.
 
kabla hujatajiwa restaurant ni vizuri tukajua huyo barafu wa moyo wako anapenda chakula cha asili gani?
ninavyofahamu mimi (mamaa wa ma-candle dinner na mitoko ya design hiyo) tunajiuliza tu..... leo nataka kula Chinese food, basi najua pale the Great wall ntapata cha kuniridhisha.....
nikitaka Indian najua nifwate pale Angit.......
nikitaka Ethiopian.... kuna Addis in Dar
Tanzanian.... Jumatano unapata pale Peacock.......
nk nk.
chagua theme kwanza
 
Mimi wa kwangu hana maneno......Huwa tunaanzia Tandika Davis Corner kuna mama mmoja balaa kwa vyapati na supu.
Halafu mida ya mchana unatukuta kwa Ally machips Amana Ilala. Dinner haooo Tandale kwa mtogole kama mita 50 tu kutoka barabarani, kuna ubanda mmoja matata kwa mchemsho wa utumbo na wali wa nazi.

Ruksa kuniuliza about lokesheni!
 
kabla hujatajiwa restaurant ni vizuri tukajua huyo barafu wa moyo wako anapenda chakula cha asili gani?
ninavyofahamu mimi (mamaa wa ma-candle dinner na mitoko ya design hiyo) tunajiuliza tu..... leo nataka kula Chinese food, basi najua pale the Great wall ntapata cha kuniridhisha.....
nikitaka Indian najua nifwate pale Angit.......
nikitaka Ethiopian.... kuna Addis in Dar
Tanzanian.... Jumatano unapata pale Peacock.......
nk nk.
chagua theme kwanza

tanzanian food
 
Akemi pale posta ndo inawabamba watoto ya mujini kwa sasa. Japo sie ma born here here ni mwendo wa kwa Edo chipps na American chipps tu special kwa kuongeza vitambi na minyama uzembe.

@lara1 wewe mwanamke unanikosha kweli,yani hadi natamani ungekuwa kidate changu,..mmmh akemi umepajuaje ww?
 
na uwe na chenji ya kutosha coz wanaweza kukutajia maeneo afu ukaenda siku yako ikawa ngumu kelikweli
 
Wadau leo najisikia kumsprize mamarita ila mi sio mtu wa viwanja sana.Naomba mtu anayefahamu restaurant nzuri anisaidie,leo ni enjoy kidate changu na malaika wa moyo wangu mamarita

Njoo hapa Manzese kwa Mfuga nyoka kuna mabanda mengi sana ya mama ntilie, hawatumii mishumaa ila wanatumia vibatali vina mwanga mzuriiiii karibu sana yaani
 
Lara1 shahidi, nusura yeye na kidate chake wapigwe za chembe na wachina.
 
Njoo hapa Manzese kwa Mfuga nyoka kuna mabanda mengi sana ya mama ntilie, hawatumii mishumaa ila wanatumia vibatali vina mwanga mzuriiiii karibu sana yaani

Au aje buguruni kwa binti madenge apige supu ya kichwa mixa utumbo, ndimu na chapati za hamsini hamsini...
 
Kazi ipo isijekuwa umeharibu unapunguza machungu hizoo sehem lazima muende mna rahaaa na mmja akikasirika yaani live utajiona mwenyewe;;so usimpe suprise akiwa amekasirika
 
Wadau leo najisikia kumsprize mamarita ila mi sio mtu wa viwanja sana.Naomba mtu anayefahamu restaurant nzuri anisaidie,leo ni enjoy kidate changu na malaika wa moyo wangu mamarita

Mpeleke pale Chawote Kigogo
 
Mpeleke mama Rita pale kwa Mdebwedo kijitonyama nina hakika atafurahi sana....Ila mwende na mishumaa yenu.
 
Back
Top Bottom