Sasa mbona mm nashindwa kuelekeza kwan sijuh km wengine wanajua huko jijin dar but nivyema ungesema mkoa uliopo ndipo watu wangeendelea kutupia maeneo muruha kwa siku hiyo na barafu wa mtima wako jaman kupendwa ni raha
Sasa mbona mm nashindwa kuelekeza kwan sijuh km wengine wanajua huko jijin dar but nivyema ungesema mkoa uliopo ndipo watu wangeendelea kutupia maeneo muruha kwa siku hiyo na barafu wa mtima wako jaman kupendwa ni raha
Nipo njiani kumchumbia niwe kidumu chakeJamani hivi lara1 kaolewa na nani?
njoo Banana nyuma ya stend kuna mabanda kibao,wewe lazima afurahie chakula ya pale
Wadau leo najisikia kumsprize mamarita ila mi sio mtu wa viwanja sana.Naomba mtu anayefahamu restaurant nzuri anisaidie,leo ni enjoy kidate changu na malaika wa moyo wangu mamarita
candle light dinner ndio wapi?wadau leo najisikia kumsprize mamarita ila mi sio mtu wa viwanja sana.naomba mtu anayefahamu restaurant nzuri anisaidie,leo ni enjoy kidate changu na malaika wa moyo wangu mamarita
Banana tunakwenda kula kitomoto,nyooo mme wangu hana vya pembeni mimi ndo first and last mtoto,hapo upo?Haha ndo anapokupelekaga hubby?afu akitoka na mtoto anampeleka hyatt pole kwa kupelekwa mabandani
Banana tunakwenda kula kitomoto,nyooo mme wangu hana vya pembeni mimi ndo first and last mtoto,hapo upo?
hayo ni maneno yako hayaaply and will never apply kwangu,niko peke yangu naamini na ninajua hivyo.Haha unajifariji eeh?amewapanga ka foleni shtuka shosti usiwe ka bibi jinga