Apumzike kwa amani, sote njia yetu ni moja.Kitambo alikuwa Mdau mkubwa sana wa MMU, na Chit-Chat kimtindo
Nimepitia nyuzi zake juu juu,๐ฅ
Mungu akutangulie, akutie nguvu.Niko njiani naenda msibani nikifika nitajaribu, ilaa nna maumivu sana .
๐๐คฃ umemkosea nini mwamba mpaka akuombee kifo, natumai mnataniana tu.makaveli10 amecheka. Na nitaendelea kudunda. Mwisho wenu ni Oct29.
Mkuu heshima kwako. Wala usijali. Huyu bwana mdogo naona anajiingiza 18 zangu.๐๐คฃ umemkosea nini mwamba mpaka akuombee kifo, natumai mnataniana tu.
Nimechukulia utani ndio maana nimecheka.
RIP ValentinaMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina ๐ญ๐ญ..
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira , lakini leo Mungu amempenda zaidi.
๐ฅ
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Yeah, ndiyo maishaุฅููููุง ููููููฐูู ููุฅููููุง ุฅููููููู ุฑูุงุฌูุนููููโ
Hakika sisi ni wa Allah na hakika kwake Yeye tutarejea.
Kwa heshima ya Uzi "TANZIA" Punguzeni vicheko,utani na masihara wakuu.Mbutue ๐คฃ๐