TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,844
Reaction score
52,251
Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭

Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.

Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.

Update:
Mazishi ni siku ya Jumatatu, tarehe 27.

Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi mpendwa wetu Valee, (Maghorofani) na baadaye tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
 
Japo sijamjua, ila apumzike kwa amani, kwa kuwa umesema alikuwa mtu mzuri, mpenda amani, apate pumziko la milele huyo ni mtu mwema, ila kama alikuwa mbogamboga, anasema mama mi5 tena, October anatiki, aende kuteseka tu hakika huyo hakuwa na utu.
 
Back
Top Bottom