Baba Collins
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 502
- 106
mala ya mwisho nilikua na regia kwenye show ya vinega pale kinyama tukitoa updates wote hapa jf. hadi sasa hivi navuta picha jinsi alivyo kuwa anaondoka miondoko ya hiphop wakati anamsindikiza sugu jukwaani. hii dunia jamani. Mia
Jamani chanzo cha kifo chake ni nini?naona imekua ghafla mno juzi kati hapa wakati wa msiba da Halima mchuka alichangia kwenye ile thread ya pascal mayala..,je ni ajali ndio imekatisha maisha yake au aliugua ghafla?habari mbona haijitoshelezi,naona picha nyingi kuliko habari
mala ya mwisho nilikua na regia kwenye show ya vinega pale kinyama tukitoa updates wote hapa jf. hadi sasa hivi navuta picha jinsi alivyo kuwa anaondoka miondoko ya hiphop wakati anamsindikiza sugu jukwaani. hii dunia jamani. Mia
safari ya dada Regia hapo ni Tumbi wakiwa wanampeleka muhimbili ..picha kwa hisani ya mama yetu Josephine
View attachment 45295