Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,349
Mchekeshaji akapita nayeHao boys ni katibu kabisa, hajaondoka kizembe, ameacha alama kwenye familia ya mtu
Aliyekuwa katibu wa kanisa la Masanja ameacha alama kwenye ndoa ya Baba mchungajKatibu wa nini huyu? Unajua kabisa siku hizi watanzania wakisikia Rip wanaanza kutabasamu kabla hata ya kujua nani ame rip, nchi ipo pabaya sana hii.
ILa hela hizi, sio sabuni ya roho tena ni sabuni ya povuMchekeshaji akapita naye
Du noma masanja ni mafia kile kifo cha katibu police na masanja wana siri nzito
Tunamshukuru katibu..
Hampowii 😔😴