Hivi hawa vodacom wanashindwa kugharamia mazishi ya mfanyakazi wao, VODACOM PUMBAVU KABISAA.Frank Shega A.k.a JEDA aliwahi kushika nafasi ya tatu (3) Taifa akitokea shule ya sekondari ya wavulana Tabora (Tabora Boys) katika mchepuo wa PCM, Wana CoET UDSM ni mashaidi hata AUDe Kileo ni shaidi wa hili maana ni maclass mate UDSM katika course ya BSc. in Telecommunication Engineering.
Mtoa mada kusema ni mmoja wa ma Tanzania One hajakosea kabisa.
Lengo la mtoa mada ni Rambi Rambi na kuwafahamisha Shega ni nani, pia alikuwa ni mfanyakazi wa Vodacom mpaka umauti unamfika usiku wa kuamkia jana jumapili.
tunaomba tushirikiane kwa pamoja kwa hili suala na mwili wa marehem utaagwa leo katika hospital ya Lugalo kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa sita na saa saba mwili wa marehemu unatarajia kusafirishwa kuelekea Mbalizi-Mbeya kwenye nyumba yake ya milele.
ukiwa na nafasi tafadhali fika, shughuli ni watu na watu wenyewe ndo nyinyi.
Rest in Peace Shega.
MacTech wamegharamia usafiri na Jeneza, mungu awazidishie pale walipopunguza kwakweliHivi hawa vodacom wanashindwa kugharamia mazishi ya mfanyakazi wao, VODACOM PUMBAVU KABISAA.
R.I.P Frank
Hahhaha MU kuanzia kibasila kimweri na mirambo mapumziko bweni pendwa la maria nyerere hakuna kitu niliacha ila naheshim hata aliyepata zeroUnaonekana ulitia mswaki wewe, staki ligi mkuu, R.i.p Akili kubwa
Pole sana kwa kutokuelewa niliyemjibu/wajibu.Hapa umemjibu nani sasa?! Hebu tuwe tuna-reply kwa ku-quote post husika!
mlioshindwa hamkosi maneno ya kuongeaTanzania One asie hata na Pamphlet (achilia mbali machapisho kama vitabu au academic article) au hata innovation fulani kwa jina lake. Uki-Google unakutana na jina kwenye Facebook daaah. Wakati mwingine tunazidisha chumvi zisizo na sababu. "Tanzania One wa kukariri"
Miafrika mingine ni ya hovyo hovyo sana , kwahiyo ulitakaje? Kama unaweza si ufe kwa niaba yake? Wasio na akili wao ndio wanastahili kufa? Kama unajiona una akili basi tulia na akili zako hizo za kuvukia barabara.Dah chama langu boyzia nimemaliza 2003 PCM. Majitu yenye akili yanatangulia yaliyopata zero yanadunda kitaaa....kweli Mungu ndiye anayejua siri ya yote.
Walifaulu ku-kremu. Bora hata diamond aliye ishia darasa la pilibila kupepesa macho wewe utakua dada yake Humble African au General Mangi au FRESHMAN
Kama ulifeli shule kubali kuwa ulifeli. Wengine walifaulu. Period.
Ingetakiwa ukute article za kufa mtuTanzania One asie hata na Pamphlet (achilia mbali machapisho kama vitabu au academic article) au hata innovation fulani kwa jina lake. Uki-Google unakutana na jina kwenye Facebook daaah. Wakati mwingine tunazidisha chumvi zisizo na sababu. "Tanzania One wa kukariri"
bila kupepesa macho wewe utakua dada yake Humble African au General Mangi au FRESHMAN
Kama ulifeli shule kubali kuwa ulifeli. Wengine walifaulu. Period.
K[/QUOTE
Kwamba wao kukremu hawapendi.
Sasa alikuwa Vodacom au Mactech?MacTech wamegharamia usafiri na Jeneza, mungu awazidishie pale walipopunguza kwakweli
Point yako ni nini hasa???Sasa alikuwa Vodacom au Mactech?
Kwa maelezo hayo nimekulewa kuwa jamaa alikuwa ni muajiriwa wa kampuni ya Maktech. Sidhani kama ku-outsource kumemfanya awe muajiriwa wa Voda.Point yako ni nini hasa???
Huujuui mfumo wa operations za makampuni ya simu hapa TZ au unajitoa tu ufahamu??
Mpaka umauti unamkuta 2017 alikuwa akifanya kazi ofisi za Vodacom Mlimani City.
Alikuwa SLM TX.
Employed under Makteck ambaye ni subcontractor wa Nokia. Na Nokia ni contractor wa Vodacom TZ PLC.
Again point yako ni nini hasa???
The guy is dead, sidhani kama mjadala hapa ni kuwa alikuwa muajiriwa wa vodacom au maktech. It doesnt add any value. Ata kama angekuwa muajiriwa wa microsoft. He is no more.Kwa maelezo hayo nimekulewa kuwa jamaa alikuwa ni muajiriwa wa kampuni ya Maktech. Sidhani kama ku-outsource kumemfanya awe muajiriwa wa Voda.
Point yako ni nini hasa???
Huujuui mfumo wa operations za makampuni ya simu hapa TZ au unajitoa tu ufahamu??
Mpaka umauti unamkuta 2017 alikuwa akifanya kazi ofisi za Vodacom Mlimani City.
Alikuwa SLM TX.
Employed under Makteck ambaye ni subcontractor wa Nokia. Na Nokia ni contractor wa Vodacom TZ PLC.
Again point yako ni nini hasa???
Kuna watu wametoa maelezo kuhusu marehemu,pamoja na kuwa amefariki(Na si tatizo kabisa) haimaanishi hayo maelezo tusip(nisipo)yaelewa sina haki ya kuuliza,kama vipi yasingetolewa. NilivyoelewaThe guy is dead, sidhani kama mjadala hapa ni kuwa alikuwa muajiriwa wa vodacom au maktech. It doesnt add any value. Ata kama angekuwa muajiriwa wa microsoft. He is no more.
The point is alikuwa very bright na moja kati ya accomplishment yake 4 years baada ya kumalizia chuo ni kuwa aliwahi kufanya kazi ya operations za Vodacom MS chini ya Nokia-Maktech. Haijalishi kampuni gani ilikuwa outsourced ila zilikuwa kazi za mtandao wa Vodacom.
That is his last legacy.
May you Rest in peace my friend Frank Shega