POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!
Bado mna zile mila mtu ukifiwa hata kuoga huogi kuulizwa nina majonzi!?Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.
Uhuru wa mawazo, yale yalikuwa yangu nawe umetoa yako. wote tuko sawa.Bado mna zile mila mtu ukifiwa hata kuoga huogi kuulizwa nina majonzi!?
Ameshare na familia yake ya JF nini shida? hajibu sababu hayupo online.
Uhuru wa mawazo uutumie vizuri usiwe kandamizi na nyongeshi kwa wengine.Uhuru wa mawazo, yale yalikuwa yangu nawe umetoa yako. wote tuko sawa.
asante kwa ushauri wako.Uhuru wa mawazo uutumie vizuri usiwe kandamizi na nyongeshi kwa wengine.
Pole sana... Tunakuombea katika kipindi hiki kugumu kwakoIt's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
Kama ni hivyo hata wasingepika, wasingekula ni mwendo wa kulia kwa uchungu kwa kuondokewa na mpendwa wao.POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!
Ukifiwa shughuli za msibani kwenu huwa mnafanya wenyewe na si majirani na marafiki?Kama ni hivyo hata wasingepika, wasingekula ni mwendo wa kulia kwa uchungu kwa kuondokewa na mpendwa wao.
Pole sana!It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad