Rest In Peace, Dad

Rest In Peace, Dad

Pole.

Ila you need real world friends, kuupload maswala kama haya online means wewe ni mpweke.
 
pole sana mkuu.. Mola akupe wepesi ns faraja
 
kwahiyo shangilieni enyi mbingu nanyi mkaao humo lakini ole wa nchi na bahari kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye gadhabu nyingi akijua yakuwa ana wakati mchache tu. Ufunuo 12:12
 
It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
Poleni sana mkuu, si vibaya ukatuambia msiba ulipo ili tuje kujumuika na ww kwa njia moja ama nyingine.
 

Attachments

POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA,MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL PEACE,ingawa nimeshangaa courage ya kuandika umeitoa wapi,huyo lazima ni baba yako wa kambo wallah!
Ningeelewa kama angekua ni mama yake.baba mbona unaandika tu
 
Back
Top Bottom