Rest In Peace, Dad

Rest In Peace, Dad

Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.

Mambo ya kawa anonymous hayo, akitoa details tutamjua. Hasa ukute ni shabiki wa chama pinzani. Hivyo wewe nikutoa pole kizushi kama taarifa ilivyokuja kizushi kisha unasepa. Pole Mfiwa.
 
Kwani kasema amefiwa? Hivi ukifiwa unaweza post humu JF? Yani uchungu na maumivu yoote ya kufiwa mtu bado anawaza kupost JF? Na mbona simuoni akijibu hata pole moja?! Nina mashaka na hili.

Miaka kadhaa nilipofiwa nilisahau kabisa kuna kitu kinaitwa JF!
 
Miaka kadhaa nilipofiwa nilisahau kabisa kuna kitu kinaitwa JF!
Ndio maana nashangaa humu mtu anafiwa anapata wapi muda kukumbuka JF, labda kama angekuwa verified user na mtu mwingine atuhabarishe, kama habari. Lakini hili la ID fake halafu unafiwa unatoa taarifa humu hata sielewi. Kwanza siamini kama hili linawezekana.
 
Pole Dear, Mungu akupe nguvu kipindi hichi kigumu
 
Back
Top Bottom