Kama watu wameshindwa kumuamini kwa ID yake ya siku zote, ajue hafai
Kwa nini atake wamuamini kwa ID mpya sasa? Kwanza yeye anapata faida gani?
Angalau angetumia ID yake ya siku zote, ningejaribu kumwelewa.
Intention yake ni ipi? Kama ni genuine kutoa ushauri, kwa nini hakuja na ID yake ya mwanzo?