Radio Umbea fm
Member
- Jan 23, 2013
- 60
- 9
Blaine naona point yako lkn naiona pia ya USHAURI. Kwa maoni yangu inachosha kufungua ID mpya kila upatapo shida ili kuficha ID mama yako; na kama kuna njia ambayo naweza pewa ushauri au hata counseling bila kujulikana na wengi l would go for it. Sio kila mtu anakifua cha kubeba madongo au mapondo yanayotokea pindi uanzishapo thread ya kuomba ushauri au hata uchakachuzi kama uliofanywa kwenye thread ya USHAURI. So for those who will be comfortable let them try n see if it is worthy.Mwenyewe nina issues ambazo l real need someone anipe ushauri lkn sio jamvini; so l will give a try; hasa kucheck how good Mr/Ms Ushauri is.
mhh!! maybe i was too quick to dismiss the idea -_- very well i'll reserve judgment till laterz. I just found it very strange. ntajaribu nkipatwa na "jambo gumu"Blaine unamawazo mazuri sana ila tu unasahau kwamba si MARA ZOTE MTU atapenda kushauriwa jukwaa zima. hii hutokana na jinsi ambavyo jambo lenyewe ni sensitive na implication yake kwa watakao mshauri.ngoja nikue mfano mmoja nilipatwa na mwendelezo wa part 3 kwenye uzi wangu ule wa ""mitego ya dunia hii siiwezi"" huwez kuamini kwa jisi ambavyo ilikuwa serious na kwa jinsi ambavyo jambo lenyewe lilivyokuwa na sura tofauti i had to go chemba kwa watu ambao i trust them nikafunguka kwao. nashukuru sana walikuwa sehem yangu na kunishauri and the thing is over.based on that urgument i buy mama/ baba, USHAURI's idea na kiukwel if yuko competent najua atasaida wengi sana tu.
Blaine, nakubaliana na huyo ndugu japo sikuiona hiyo thread. Kuna ushauri mwingine kujilipua nao mbele za watu ni ngumu. Its ok kuamua kuongea na mtu mmoja. Inatokea japo kuna wapuuzi wachache, anasema naomba ushauri na kuanza kutongoza. Wengine wanasema natafuta ajira afu ukimuelekeza pa kwenda anarudi kutongoza. Hao kuwapotezea ni rahisi manake unadharau tu.
Hmm! Jambo gani gumu hivo ambalo huwezi kulianika na kutiririka hapa mpaka uPM mtu? Weka wazi kila tatizo lako hapa naweza kukusaidia na USHAURI, MAONI NA KUKUNASIHI..lol Usiogope kuleta mada mpya kila siku. TUNAHAMU yakujua kinachokusibu na kukusumbua ili tukusaidie kwa HALI na MALI ikibidi! Lol
Umeona eeh!!
Afu ukimfuata PM mtu anakuonea haya, inabidi akupe ushauri wa ukweli kwa lugha laini laini tu, basi ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
Lakini hapa, unapewa jibu ambalo ni 'top layer', as it is.
Issue inaweza isiwe ngumu mdogo wangu Blaine kama huyu Bw/Bi USHAURI ata-win consent ya watu..
Manake mpaka sasa PM zinatumika kushauri..na wala sio mara moja hata mimi nimezama PM kutafuta 'kushauriwa'
Kikubwa ni jinsi gani huyu USHAURI ataji-establish hapa jamvini kama gwiji la utatuzi.....................
Issue inaweza isiwe ngumu mdogo wangu Blaine kama huyu Bw/Bi USHAURI ata-win consent ya watu..
Manake mpaka sasa PM zinatumika kushauri..na wala sio mara moja hata mimi nimezama PM kutafuta 'kushauriwa'
Kikubwa ni jinsi gani huyu USHAURI ataji-establish hapa jamvini kama gwiji la utatuzi.....................
shida kuna uchakachuzi wa kuzidi halafu unaweza dilute the whole thing; ninachokiona kwa ushauri wa PM unakuwa one on one na unakuwa kicounceling zaidi na unaweza kukufanya ujitambue, if done properly. Na by properly l mean, Mr. Ushauri hapaswi kukupa jibu au suluhu ya tatizo lako rather anatakiwa akusaidie ufikie suluhu ya tatizo lako.
Anyway sijui kama atatupa feedback au watu watakaoattend sessions naye wanaweza kutupa huo mshindo nyuma aka mrejesho on how good/helpful or bad was it
shida kuna uchakachuzi wa kuzidi halafu unaweza dilute the whole thing; ninachokiona kwa ushauri wa PM unakuwa one on one na unakuwa kicounceling zaidi na unaweza kukufanya ujitambue, if done properly. Na by properly l mean, Mr. Ushauri hapaswi kukupa jibu au suluhu ya tatizo lako rather anatakiwa akusaidie ufikie suluhu ya tatizo lako.
Anyway sijui kama atatupa feedback au watu watakaoattend sessions naye wanaweza kutupa huo mshindo nyuma aka mrejesho on how good/helpful or bad was it
Nami ninaona hiyo kitu, though my feeling ni kwamba Bw/bi Ushauri ni mtu mzoefu humu ndani; na watu wamemzoea kwa ID yake ya siku zote so ni kind of ngumu kuanza kumuamini mr. USHAURI
LAbda uniambie ile ID inamilikiwa na 'jopo la watu' na si mtu mmoja kama ninavyodhani.
Hivi unadhani mtu mmoja anaweza kusaidia kufikia sulihisho ukilinganisha na jopo la wana MMU wote??
Kwanza, kasomea kutoa hiyo kanseling?
Could be, ukisoma bandiko la awali inaonekana hivyo; but l might be wrong.
Naona kama umemhukumu mapema..kwani unamjua kwa ID ya zamani?...nenda PM naye ndo utamuelewa kama anafaa au hafai..si umeona tayari charminglady anatafuta wa kumsaidia.....Kama watu wameshindwa kumuamini kwa ID yake ya siku zote, ajue hafai
Kushauri ni 'KARAMA' na kujitolea tu...ni sawa tunavyoshauri hapa kwani tunapata nini my dear?Kwa nini atake wamuamini kwa ID mpya sasa? Kwanza yeye anapata faida gani?
ID sio issue nadhani..kikubwa ni ushauri wake..is it worthwhile? ..tumuache aanze kuchambua hapa then tutamuamini..tumpe benefit of doubt..lolzAngalau angetumia ID yake ya siku zote, ningejaribu kumwelewa.
Lolz....hebu mpe nafasi..huwezi kujua bana..subira saa zingine huvuta heri..Intention yake ni ipi? Kama ni genuine kutoa ushauri, kwa nini hakuja na ID yake ya mwanzo?
Naona kama umemhukumu mapema..kwani unamjua kwa ID ya zamani?...nenda PM naye ndo utamuelewa kama anafaa au hafai..si umeona tayari charminglady anatafuta wa kumsaidia..
Kushauri ni 'KARAMA' na kujitolea tu...ni sawa tunavyoshauri hapa kwani tunapata nini my dear?
Ingawa simuamini kwa sasa..but nadhani tumpe muda..wazo jipya huwa sio rahisi kukubalika mapema...
ID sio issue nadhani..kikubwa ni ushauri wake..is it worthwhile? ..tumuache aanze kuchambua hapa then tutamuamini..tumpe benefit of doubt..lolz
Lolz....hebu mpe nafasi..huwezi kujua bana..subira saa zingine huvuta heri..
Hata kama ni jopo, kwa nini wanadhani wao ndio wataaminiwa sana na watu wafungue maisha yao kwao?
LAbda niulize, 'uaminifu' unaombwa? Can I ask you to trust me 100% na wewe uniamini?