Mhhhhhhhhhhhh! :tape2::shut-mouth:
i was responding to USHAURI bcoz ule uzi ulifungwa kabla sijamjibu.
kama watu wataanzisha vita hapa ntamuita mod aifunge
Hahahaaaaaaaa! Waanzisha vita wapo likizo! Lete vitu hivo ma GT tuvidiscuss!
Jidanganye
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! I hope its not what i am thinking ooooooooh! Chinekeeeeeee! Bana acha kutoka kwenye mada! Rudi kwenye mada tafadhali!
Bring it..whaaat..we right here....we ain't goin nooowhere...we right here.
Huchoki kucheka weye?
Sichoki kucheka aisee! Sema sio vyote vya furaha! Vingine ni sarcastic, vingine cynical, vingine sympathetic na vingine ni offensive tu! So ukiona nimecheka kuna mengi nyuma ya pazia!
Umesahau na vile vya kujilazimisha....I mean..vile vya kinafki nafki hivi.
Hivo ndo offensive sasa vya kumkera tu mtu!:smile-big:
Na kero zaweza kuwa hisia zako tu maana humwoni, humjui, hujui yuko wapi na anafanya nini. Kwa sie wenye akili huacha all possibilities open. Maana we waweza kudhani unamkera kumbe mwenzio ndo kwanza yuko kwenye element...anakusanifu tu.
Mitandaoni hatukerani....majuha tu ndo hudhani hukera.
i was responding to USHAURI bcoz ule uzi ulifungwa kabla sijamjibu.
kama watu wataanzisha vita hapa ntamuita mod aifunge
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! (This 1 is genuine)
Mimi nikashecheka wewe tu na roho yako! Ukereke! Usikereke! WHATEVER!!!!!!!!!!!! Hainiumizi kichwa kabisaaaa! Nisanifiwe! Nisisanifiwe lazima cha jioni nitakula na nitapata usingizi!
U have a point kuhusu watu wa mtandaoni, kwangu mi nawaona ni insignificant! Hawaniongezi kitu wala kunipunguzia chochote! So sijipagi shida kujua wanawaza nini juu yangu!
Coz it wont affect me anyhow!:rockon:
mtu anapokiuja kuomba ushauri hapa jf anategemea kupata opinions za watu tofauti sio just mmoja. idea yako ya kupatwa na "jambo gumu" mpaka unashindwa kuliandika hapa ni hadithi. zimekuwepo mada za kuomba ushauri kuhusu kuibiwa mke/mume, kunyanyaswa, bullying, same sex attraction etc na watu walifunguka na kupewa advice. prominent members like gfsonwin, Kongosho, The Boss, Kaunga nk wameandika nyuzi nzito za majaribu waliyokutana nao na kusaidiwa. sasa ni "jambo gumu" lipi hilo ambalo haliongeleki hapa JF hadi uandike uzi wa ku-volunteer kutoa ushauri by PM. ni wazo decent lakini hakuna mantiki, ni rahisi kwa yoyote kuweka ID mpya na kuomba advice kwa "jambo gumu" na kupokea opinion nyingi kuliko just kum-PM a random person asiyejulikana.
sorry kama nimekukwaza bwana/bibi USHAURI