CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,440
basi na wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio. nimesema hiyo link unasemaje, hujajibuManeno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.
Mbona mmesahihisha hiyo heading ya thread kutoka "dessertation" kwenda "dissertation" sasa?
Kukataa kusahihishwa ni upumbavu, na hata usome vipi, kama unakataa kusahihishwa wewe ni mpumbavu tu.
Wewe ni NGUIN nas kubishana na Nguin per se iko shida!Maneno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.
Mbona mmesahihisha hiyo heading ya thread kutoka "dessertation" kwenda "dissertation" sasa?
Kukataa kusahihishwa ni upumbavu, na hata usome vipi, kama unakataa kusahihishwa wewe ni mpumbavu tu.
Hivi wewe mla vumbi hata unachoandika mwenyewe unakielewa?basi na wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio. nimesema hiyo link unasemaje, hujajibu
Hapana, labda kama mna shitty standards.
Mtu anayeenda kufanya dissertation anatakiwa kujua spelling za dissertation, otherwise hiyo elimu ni a sham.
Science si excuse.
Siwezi kutarajia uandike kama Francis Scott Fitzgerald, lakini ku spell "dissertation" is a freaking low bar.
And if you use science as an excuse to not know how to spell "dissertation" you might miss searching for journals about "dissertation" in a legacy system, just because you write "dessertation" instead of "dissertation".
Mtu anayeongelea habari hizi za dissertation anatakiwa kuwa msomi. Akisahihishwa ashukuru ajifunze.
Kwa nini unatetea ujinga kwa kisingizio cha science?
Ni kujifariji kwa watu ambaohawana standards walaintellectualhonesty tu.Mkuu umenena vema sana maana anataka kudanganya watu kuwa science haiangalii lugha. Nina wasiwasi kama yeye ni mwanasayansi kweli. Mbona mimi wakati nafanya dissertation yangu (MSc. Maths) supervisor alikuwa anacheck kila kitu kuanzia technical part mpaka lugha yenyewe.
*Kukosilewa ndio nnThey say to err is human. Sina tatizo na typographical errors.
Hata mimi huwa nazifanya hizo.
Hii lugha si yetu. Karibu wote tumejifunza kama lugha ya pili. Wengine ya tatu.
Sina tatizo na error.
Tatizo langu ni huu utamaduni wa kusema sisi ni wasomi wa sayansi kwa hiyo kukosea kuandika lugha ni sawa.
Hii ni habari ya ujinga kabisa.
Watu wanakumbatia ujinga na kukataa kukosilewa kwa kisingizio cha sayansi.
Unaweza kwenda sehemu ukaandika kitu kina sayansi nzuri tu, lakini kwa sababu umekosea lugha, watu wakakuona ovyo hata wasikusikilize kwa umuhimu.
Sent from my Kimulimuli
Ni kama ulivyofanya hapo.
Yeye anakwambia wanasayansi ndio wanapaswa kukosea na bado waonekane wapo sahihi.Your objectives should be in SMART form
S-significant,stretching,specific
M-measurable,meaningful,motivational
A-attainable,acheivable,acceptable
R-realistic
T-time based
Sasa we naona umeandika kama maembe tu
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mada nzuri sana mkuu. Wasaidie watu tu.
pumbavu, ndo maana waafrika hatuendelei, tunajifanya tunajua kukosoa, ni ujinga na upumbavu, walioelewa wameelewa, andaa thread yako basi kama unafikiri unajua sana!
Jamaa tupo ki academic zaidi, siasa zinakukaje jamaa? Yule swahiba wako anaogopa kusafiri wazungu watamueka bond!Hao ndiyo wale wale wanaosema ukisoma sayansi hutakiwi kujua grammar na matamshi. Hata lugha ya malkia kuongea ni tatizo, mwisho wa siku ni kujifungia ndani na kutoa excuses za kutotaka kusafiri.
Labda nisaidie kidogo wakati matusi yakivuma. Mkuu gango2 sahihisha kama ninapotosha.Ni vipi sasa researcher anaweza kuondoa bias kwa kutumia Convenience sampling?
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kufahamu jinsi gani ya kudevelop statement of the problems
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nini mnashindwa kuelewana wazee? Mi naomba madesa mwenye nayo antumie...nataka nipige proposal!
Mwenye madesa ya BA- Marketing... Anicheki humu
Denzgonzy@gmail.com
Nipe za consumer behaviours boss,hello Extrovert ! Je ni eneo gani kwa marketing unataka kufanyia research, naweza kukutumia sample papers lakini specify area either 'marketing of services' 'service quality' 'international business' 'consumers behaviours' etc
Asante nimekuelewa vizurihello Bahatim, vizuri
kwanza kabisa inabidi ujue statment of the problem huwa inamaanisha nini katika paper yako! actually baada ya kuandika background of your research paper and back ground of research problem you need now summarize what is real the problem, this is what is called 'research problem'. sasa good research problem should follow the following sequences
1. you must explain the important of the subject matter simply then
2.elaborate how different effort are being done/taken to make it being there or persist
3. show symptoms of the problem (what are the sign that despite the subject matter being good, but there are some underperfomance
4. then elaborate the efforts to remove those symptoms of the problem
5. elezea dispite those effort in (4 above) still the problem persist
6. conclude what is your research going to do!
mfano paper yako inahusu 'impacts of microfinance in poverty eliminations' then good statement of the problem should have
1. elaborate importance of microfinace to povert elimination
2.elaborate different effort being done to put microfinance efficient (These two should have one paragraph)
3. shows the symptoms that still kuna tatizo linaonekana lipo (one paragraph)
4. elaborate effort to remove those symptoms that are being taken (one paragraph)
5. DISPITE those effort done ....... elaborate how still problem is there (GAP)
6. explain how your paper is going to bridge that gap (last two one paragraph)
KUMBUKA KILA KITU HAPO JUU LAZIMA UWEKE SUPPORTING REFFERENCES, I MEAN UTAFUTE LITERATURES TO BACK UP YOUR WORK
(Sorry nimechanganya english na kiswahili)