Rescue operation:Zitto kuukwaa uwaziri

Rescue operation:Zitto kuukwaa uwaziri

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto

Tusubiri tuone!

Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!
 
OOh kumbe kuna wau wanaelewa ukweli wa Zitto kuihujumu chadema,hv yupo Zitto?sijamsikia siku sasa?
 
haya bwana vema iwe, awe ameondoa sintofahamu maana kila kukicha mara mbowe , zitto , uraisi unawagombanisha kumbe mmoja ana lake jambo
 
Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto

Tusubiri tuone!

Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!
Mkuu hivi ni kwanini mtu ukiweka Uzi wenye kumshauri au kumkosoa zitto kwenye jukwaa la siasa mods wanaunyofoa fasta kuna Siri gani?
 
Tufikiriii???????????????????????????

kwa uelewa wangu mleta uzi umeleta mtihani na majibu unategemea kwetu.
 
haya bwana vema iwe, awe ameondoa sintofahamu maana kila kukicha mara mbowe , zitto , uraisi unawagombanisha kumbe mmoja ana lake jambo

Sasa kwanini thread kama hii isitupwe kule?? mtu anakuja na kuanza kubwabwaja ati ''kuna jamaa yangu mwanaCCM kanitonya blah blah..''....then wote tuaminishwe kwamba hii ni habari? haifai hata kuwa tetesi
 
ndiyo mana tupo katika forum , wehu wapo, wazima pia ni kuvumiliana tu
 
we lazima utakuwa memkwa yaani umejua kusoma na kuandika tu
 
Sasa kwanini thread kama hii isitupwe kule?? mtu anakuja na kuanza kubwabwaja ati ''kuna jamaa yangu mwanaCCM kanitonya blah blah..''....then wote tuaminishwe kwamba hii ni habari? haifai hata kuwa tetesi
Inategemea na upeo wako wa kufikiri!
 
Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto

Tusubiri tuone!

Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!

Wafikirishe nini Mbea mkubwa wee!,sasa akiteuliwa wewe ina ---- nini, ndio myimyi mnaotembea nasumu sio, Hakuna suala la kulipa fadhila hapo, Kiongozi yoyote makini hawezi kuachia kipaji alicho jaaliwa nacho ZZK, hataukichukia huo ndio ukweli, Mnazani waTZ wanasikiliza hizo propaganda zenu.
 
si busara kuhukumu mud wote. Mleta uzi kasema amepata fununu (tetesi) kutoka chanzo anachokiamini wewe unamwita mhuni. Siyo afya ya tafakuri bora. Huyo zito unamwona na kumuita kiongozi bora mwenye kipaji but kwangu mimi sikioni kipaji chake wala ubora wa uongozi wake zaidi ya usaliti kwani hajawahi pata mafanikio yoyote yenye tija zaidi ya vurugu. Angalia hata hoja zake bungeni anaibua na kuelea kisha ana vanish in the air hatuoni mwisho. Mchukueni tu kwani mmezoea kuwa na mawziri bomu wa aina yake.
Aibu kwake na mnaomuunga mkono!
 
kazi kweli kweli, ila UKWELI utajulikana tu hata ukichelewa kiasi gani.
 
hivi Zitto ameifanyia nini hasa nchi....?
 
Last edited by a moderator:
Chadema mrudisheni zito. Mukae naye na kupanga mikakati. Hata nape na 6 walianzisha ccj lakini hawakufukuzwa badala yake wamepewa mwana wamlee,wanasonga mbele na kuonyesha ukomavu wa kisiasa wa ccm.mambo ya kuuana au kufukuzana yamepitwa na wakati na kuonyesha woga na unyama wa kisiasa!
 
Navojua mie ukweli wowote uanza na tetesi 'shop talks' baada ya hapo sasa huwa inabaki kazi ya kudhibitisha whether ni kweli ama si kweli,sasa huyu anayetaka tususpend hizi allegations anaogopa nini? ni uvivu wa kutafiti ama tuamini kuna ukweli na yeye kachukia hili jambo kuletwa barazani?
 
Back
Top Bottom