Rescue operation:Zitto kuukwaa uwaziri

Rescue operation:Zitto kuukwaa uwaziri

... unafurahia lkn kumbuka Mungu yupo. watu Wastaarabu hawatumii njia za kishenzi kufikia malengo yao ,bali washenzi....
 
Inategemea na upeo wako wa kufikiri!

Indeed. Uwezo wako wa kufikiri upo level nyingine kabisa kama ''ukitonywa na mwanaCCM'' then hiyo inakuwa habari ya kweli kabisa na kutoka jikoni kabisa...
 
Kuna jamaa yangu mwanaccm amenitonya kuwa kuwa Zitto Kabwe anaweza kuteuliwa kuwa waziri ikiwa ni fadhila ya kuhujumu chadema,
Iwapo chadema haitamvua uanachama jambo hili litakuwa rahisi.
Iwapo chadema itamvua uanachama basi kuna mambo mawili,moja ni kumteua kuwa mbunge halafu waziri na pili ni kumfanya mbunge wa mahakama.
Hili swala litategemea sana na timing ya chadema kutoa maamuzi dhidi ya usaliti wa Zitto

Tusubiri tuone!

Mods msifute kama mlivyofanya kwenye jukwaa la siasa.acheni wadau wafikirishe akili!


kwa mujibu wa novel za ujasusi, ccm wakiwa na akili hawatafanya hilo unalolieleza hapa kwa kuwa wakifanya hivyo litathibitisha malalamiko ya chadema kuwa yamekuwa kweli siku zote. na ujue chadema wakiwa na ushahidi wa aina hiyo kila watachosema baada ya hapo chadema kitaonekana kuwa kweli kila siku. Itakuwa dhahiri zitto alikuwa akifanya kazi ya ccm ndani ya chadema.

Kwa hiyo kisiasa uamuzi huo unaoutarajia wewe utakuwa uamuzi wa kijinga. Lakini zaidi ya hilo, uamuzi huo utahatarisha sana maisha ya Zitto kabwe kwa sababu utafungaa milango ya visasi vya kisiasa--hata kama si vya kichama. Wanaweza kujitokeza wakereketwa tu wa chama kilichokuwa kinasalitiwa waka-act individually kabisa na kumdhuru Zitto Kabwe.

kwa hiyo kwa mtizamo wa kisiasa, lakini pia kiusalama, CCM watai-discredit chadema kwa namna ya kumtupa Zitto Kabwe kama kondom iliyotumika.

Usalama wa Zitto kisiasa, lakini pia at personal safety-- ingalau in the short term--ni kukubali makosa yake na kutubu kwa chama aokoe ubunge. hilo najua litakuwa gumu sana kwa sababu ya pride (KIBRI), lakini vema zaidi akumbuke kuwa kibri kuzaa majuto: wakati mwingine majuto ya milele. sheria za dini na zile za mamlaka za kibinadamu hutoa nafasi ya msamaha kwa wanaokiri makosa na kutubu.

that is the way out for Zitto Kabwe. no other safe way out...
 
...chadema haipo kuzuia mafanikio ya mtu binafsi,ila haitalea wasaliti kwa gharama yoyote ile. so akapewe uwaziri tu ili afaidi matunda ya usaliti, hongera in advance bwanamdogo zzk....
 
Wewe cjui umebahatika kupata elimu...na kama ni hivyo hv hayo ndo yalikua malengo yako kuendeleza ukabila,udin.........pia hivi ktkt masomo yako ulijufunza kudeal na majina ya wanaume wenzako hasa ambao hawajaoa........?move with society needs not of ur godfather
 
Huu udaku eti umetonywa na MwanaCCM yeye nani na katumwa na nani? Usituletee umbea hapa ni sehemu ya kujadili hoja halisi na za ukweli sio za kusadikika wala kufikirka. Uzi huu mmalizane na mkeo au mumeo chumbani.
 
Back
Top Bottom