Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
usijali, ntakupa!
Ila ukitaka kumpa mtu, unabonyeza hako kanyota keusi mduara kalikopo baada ya kitufe cha send pm, unabonyeza halafu una-apruvu! Baada ya kuapruvu, una add coment!
Baada ya hapo, mambo swaaafi kabisa!
Try it..
hahahah kama anatumia tecno imekula kwake. Mwambie kabisa.
Hahahah kama anatumia tecno imekula kwake. Mwambie kabisa.
duh kweli tupu
Hee jamani nataka kusaidiwa tu natumia laptop hapa
Zina maana gani hizo rep power kwani maana hata mie nnazo nyingi hata sijui nani hua ananipaa
Uangalie na mwaka aliojiunga mtu msitufananishe na waliojiunga 2008
bado kama laki tatu hivi unampita na kiwatengu..
Ngoja niendelee kuongezea wengine japo wengi ninaowaongezea wao wame-mute.Join Date : 11th November 2013
Posts : 297
Rep Power : 312891
Likes Received123
Likes Given179
hizo hapo kwenye red mkuu!
kuna watu walishakuongezea... ni zamu yako sasa kuongeza rep kwa wengine!
jinsi ya ya kuongeza rep.. bonyeza alama ya star inayoonekana chini baada ya send PM, approve, then add comment..
hivyo ndivyo reputation inavyoongezwa na member mmoja kwenda member mwingine..
ahsante...
Ngoja niendelee kuongezea wengine japo wengi ninaowaongezea wao wame-mute.
Kumbe sijuwagi mjue
Join Date : 24th May 2011Grafani!! How many do u have?
Join Date : 24th May 2011
Location : Omnipotent Street
Posts : 6,916
Rep Power : 493712
Likes Received2603
Likes Given3871
Mi namba ngapi?
Mekuu mbony tsapfoo