Repoti yako ya mwaka 2010 imetoka!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Repoti yako ya mwaka 2010 imetoka!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Jan 26, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Ni kama ifuatavyo:-

  Kuoga D+,

  wivu B+,

  uvumilivu E,

  uchokozi C+,

  kuzurura A,

  kulala uchi A,

  kuchukua bibi za watu A,

  siasa A,

  kupewa maji A,

  kutumia kondom E,

  kwenda kanisa E,

  kutongoza watoto B,

  uhuni A,

   
 2. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh sina msaada na wewe hapo.
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Utakuwa umefaulu basi. Au matokeo yamekuridhisha.
   
 4. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kuoga D+, NIna A+ naoga mara 2-3 kwa siku zamu yangu ya kuoga maji ya ndoo iliisha.

  wivu B+, Kma ni wamaendeleao A+ kama ni kumwonea jirani F-

  uvumilivu E, Nina F- Kizibo cha uvumilivu kimezibuka. Ama zao CCM ama zangu

  uchokozi C+,-Nina F Nikiwa na Hasira napiga mzigo tu

  kuzurura A,- Nina F- Sina muda wa kupoteza

  kulala uchi A,- A+ Birth Day Suit Pajama ndo zangu Sleeping in Nude"

  kuchukua bibi za watu A,-Mimi nina F Tangua niache kabla sijaoa sijatongoza.

  siasa A,- Hi kuna Alama iliyo juu ya A+? may be AAA+?

  kupewa maji A,

  kutumia kondom E,- F Zaidi ya mke wangu sina mpango na mwanamke yeyote

  kwenda kanisa E,- Hapa nina B+

  kutongoza watoto B,- Mimi nina F kwa sababu sitongozi na wala sitatongoza

  uhuni A,- F Tangu nioe miaka 18 iliyopita nyama naunua bucha hiyo hiyo.
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mpk ku2mia condom ana sap!! mwaka huu itambid asapue
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mmh, hiyo siyo yangu na wala haifanani nayo kabisa. mi yangu iko kama ifuatavyo:

  Kuoga zaidi ya mara moja kila siku (alama nisaidie),

  wivu F,

  uvumilivu A+,

  uchokozi (kwa lengo la kuchochea mazoea na kuchangamshana) B,

  kuzurura F,

  kulala uchi F,

  kuchukua bibi za watu NA,

  siasa B+,

  kupewa maji NA,

  kutumia kondom NA,

  kwenda kanisa A+,

  kutongoza watoto NA,

  uhuni NA,

   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  miss j huwa una lala na jinzi?
   
 8. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hahahahahh, umenichekesha kweli??. Swali dhuli
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  siyo jinsi wapendwa, huwa nalala na nguo za kulalia, si mnazijua? na nikisafiri nchi za baridi ndo kuna kulala na vinyelamumo!
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! kwa ninavyomuelewa miss judith, szani kama atajibu hii lol
   
 11. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  labda anaishi zile nchi zenye baridi kali au zenye uzoefu wa kutokea majanga usiku.
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hapo uchokozi B. naomba unichokoze kidogo.
   
 13. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  ni msirious mpaka simu yake haina games
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  halaf ana mashairi mpaka keyboard yake imepangwa kwa vina na beti.
   
 15. N

  Nola Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa bwana lakini mi najaribu kufungua matokeo sipati nielekeze jinsi ya kuloa kwenye kimeo
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haha, swali lenyewe mbona simpo? nimeishajibu tayari

  mi naishi bongo japo husafiri mara chache kwenye nchi zenye baridi kalihadi mabarafu, ila siyo zenye majanga, ingawa indonesia kulikotokea sunami nimewahi kutembelea mara moja

  hahah, kama vile ulikuwepo, simu yangu ina games ila huwa sichezi yaani muda unabana sana bro
   
 17. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  huwa nachokoza sana, just keep in touch, hata hapa jamvini nimeishachokoza kadhaa. we muulize polisi wakati wa machafuko ya arusha nilimpiga kijembe bab kubwa
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  hashycool, miss asidanganye, miss kuzura F,juzi nimekuona kwa k2u cha daladala mwenge! Uhuni F wakati orijino Certificate yako inaonesha A au umetumia jina la kununua?au la dada yako yule niliyemuona?
   
 19. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahah, guyz leo mbona ninalo! very funy!
   
 20. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  speechless!!
   
Loading...