Hayo macho ya popobawa nini? Wamesema yupo Mhimbili sijui wagonjwa watakimbiaje?
Na wewe ulikuwemo chumbani wakati mtoto anafurahia. Au ulihadithiwa na mtoto mwenyeweKakosea sana kulipuka mbele ya mtoto.
Kuna mshikaji alikuwa anauza na kuchoma humo humo ndani. Alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka na miezi kadhaa, ikatokea mke wake kaenda kwako, huwezi amini mtoto alikuwa mnyonge kama mgonjwa. Siku wamerudi Dar, baada ya baba yake kujilipua chumbani, unaambiwa mtoto alipona ghafla na kuchangamka kupita kiasi.
Huo sio usela ni upumbavu,unachoma uchome kwa Raha zako ulishaona picha Bob anamvutisha Ziggy au Damian na yeye ndio alikuwa mbabukaji mkubwa.Aisee tatizo la kuwa na Baba wasela
Kwenye level ya mzazi huyo hawezi kuingia..Huyo si baba bali huyo ni mzazi....
Kwenye level ya mzazi huyo hawezi kuingia..
Nimekuelewa mkuuKuwa mzazi ni kuwa na uwezo wa kusababisha mimba....lakini kuwa baba ni jukumu kubwa zaidi ya kuwa mzazi....