Reposted: huyu ni baba

Reposted: huyu ni baba

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,735
Reaction score
858,446
1474563805170.jpg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji14] [emoji13] kila shetani na mbuyu wake
Tangu nilivyojua mafanikio ya Bob Marley yametokana na hii kitu[emoji1] [emoji1] nimepata faraja sana. Wachawi wote walishindwa kumroga bob ndo maana mziki wake haupotei
 
Kakosea sana kulipuka mbele ya mtoto.

Kuna mshikaji alikuwa anauza na kuchoma humo humo ndani. Alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka na miezi kadhaa, ikatokea mke wake kaenda kwako, huwezi amini mtoto alikuwa mnyonge kama mgonjwa. Siku wamerudi Dar, baada ya baba yake kujilipua chumbani, unaambiwa mtoto alipona ghafla na kuchangamka kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom