Report ya mwana Dar es Salaam

Report ya mwana Dar es Salaam

ki ukweli mwana iko poa hatariii yaani ina ile beat ya kistaarabu unaenda taratibu sasa pale akisema waleteeee haaaaa ni sheeeeda
 
ki ukweli mwana iko poa hatariii yaani ina ile beat ya kistaarabu unaenda taratibu sasa pale akisema waleteeee haaaaa ni sheeeeda

Much respect to Aly Kiba.
Kiukweli wimbo ni mzuri sn na una ujumbe mzur ndani yake. Ni wasanii wachache sana wanaowea kutoa wimbo usio wa mapenz na uka-hit kias hiki. Diamond ji msanii mzuri sn, ila kuimba wimbo usiokuwa na msg ya mapenz ukabamba ni ngumu sn kwake.

Hongera sn Aly Kiba, kwangu mm yo the best. Ungekuwa una management nzuri km ya huyu mwenzio ungekuwa mbali sana zaid ya hapo ulipo. Hongera kwa jitihada zako na ucbweteke ongeza bidii. One love.
 
Huu wimbo sasa umeshakuwa kero sasa ni kama wimbo wa Taifa.

dah! Asante sana kumnyoosha. Ila kwa upande wa kiba bado sijaona. Siku zinavyozidi kwenda anazidi kubana pua.
 
Kumbe mwana daresalama ndo Kiba!
Hako kawimbo sijawah kukasikia kakafika mwisho,sikapendiii kasauti kama ule wa dushelele

ni kweli ndugu. Kiba anapaishwa tu. Labda kwa kuwa produza wake ni mtu wa media
 
Chema chajiuza ndugu hata mm ni huo tu kwenye redio yangu
 
jamani ebu msikilizeni mtoto barnaba na wahlade balaa alilofanya humo!...na mnajua nini?dah
 
dah! Asante sana kumnyoosha. Ila kwa upande wa kiba bado sijaona. Siku zinavyozidi kwenda anazidi kubana pua.

mkuu Wallet tatxo lako huelewi tu..
ali habani pua ila ile ndio saut yake original,kama unabisha jarbu na wewe kubana pua uone kama saut itatoka nzur vile..
 
Last edited by a moderator:
mkuu Wallet tatxo lako huelewi tu..
ali habani pua ila ile ndio saut yake original,kama unabisha jarbu na wewe kubana pua uone kama saut itatoka nzur vile..
kweli, eh. Basi apunguze kubana sauti. Awasikilize kina ben pol na rama dee
 
Last edited by a moderator:
Hili la Ali Kiba tulishalijadili sana wakati anatangaza kurudi utafuteni uzi tulichokiona ndio hiki kinatokea sasa hivi.
 
Kinachoendelea hapa ni kujaribu kumpandisha Kiba kinguvu na kumshusha Diamond kinguvu. USIKU MWEMA. "mdogo mdogo"

na wewe umeliona hilo sio?? nilishasemaga tena mimi jamani nguvu zinazotumika kunyanyua kiba zina uwezo wa kuuhamisha mlima kilimanjaro ukaja hapa dar, watu wamejitoa mhanga kumbeba kiba, lakini ndio hivyo tena kijana amekuwa kama gunia la misumari.
 
dah! Asante sana kumnyoosha. Ila kwa upande wa kiba bado sijaona. Siku zinavyozidi kwenda anazidi kubana pua.

eti ndio msanii mwenye vocal kali kuliko wote, si bora hata belle 9 na mavoko mara elfu nane, kiba sauti mwanzo mwisho inatokea puani, mdundo wa mwana na dushelele no tofauti, tutajieni upya sifa za huyu mtu, mnazotaja zimekuwa rejected sokoni, kuhusu ujumbe hata kwenye kanga upo, sisi tunataka vitu vitamu. hapa ni mwendo wa mdogomdogo tu mwana apite hivi.........
 
Back
Top Bottom