Report ya mwana Dar es Salaam

Report ya mwana Dar es Salaam

Mwana Dzm ni hatari kila kona man water tihiIiiiiii maji yana mwagika choroooo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hahahahahaha Kiba katisha sana, bonge la song aiseeee
 
Mwana Dzm ni hatari kila kona man water tihiIiiiiii maji yana mwagika choroooo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hahaaaaa....alafu inafuata sauti matata....mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza,yani Kiba kaua
 
Ndani ya dar es salamee ulikuja bure tena kimwana kimwana ujui kuchuna,na zile lawama za wale walokuzoweza ulikuja jana na leo tofauti sana bora yule yule wajana wa leo tofauti sana dk mbili mbele nyuma kichwa kinauma
 
We mwanaa oooh,
Uchungu wa mwana aujuae mzazii,
Sikuzote milele eeeeh,
Wanaliaaaa aaaaaaah,
Kutwa nzima wanalalamikaa eeh,
Kwa baba na mama yako ooh,
We mwana rudi eeeeeeh,
Wataa-furahi wakikuona,
Umerejea salama...
 
huku kwetu kw mtogole inasikilizwa kwnye vilabu vya gongo(konyagi mwitu), chibuku na banana .............

Grand PA
 
Back
Top Bottom