Yawezekana we ndio mwana dsm mwenyewe..!
ndio nini kwani?
Yawezekana we ndio mwana dsm mwenyewe..!
Sana yaaniKiba anajua, mashairi na melody hadi raha!
Diamond anavaa kistaa, ukimuona stejini unakubali uyu ni yule ninayemsikia yani ana-meet expectations. Kiba hayuko simpo ila yupo local ungemuona fiesta ya juzi juzi ungeshangaa, yani kavaa jacket sio jacket ma american buti yamepauka nywele hazijaandaliwa yani unakuta shabiki yupo smart zaidi yake sasa kwa nini wasimchukulie poa ata aimbaje .
Wimbo wooote wa mdogo mdogo umebebwa kwanzia hapo..
"Usijali mama(mdogo mdogo),
We acha waongee(mdogo mdogo),
Ntakupenda saana(mdogo mdogo),
Mahaba ninyongee(mdogo mdogo),
Usijari lawama(mdogo mdogo)"...
Ila kiukweli tofauti ya nyimbo hizi ni kwamba Mwana ni mziki mkubwa na Mzuri,Kitorondo ni mziki wa kitoto ila mtamu..
Hakuna msanii bongo anaweza andika kitu nzito kama ile mwana..
Cc matumbo
sema hajui kuvaa
lakini Kiba mwenyewe alipohojiwa katika Mkasi alisema anataka kurudisha zile nyimbo ambazo zilikuwa zikiimbwa hazitoki vichwani na midomoni mwa wasikilizaji,yaani kuzifanya kuwa kama nyimbo za taifa. Na mifano akasema ni kama Vaileth ya Matonya na Latifa ya Mb Dog.Hii nyimbo sasa imeshakuwa kero sasa ni kama nyimbo ya Taifa.
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza?